Naomba tofauti ya activist na politician | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba tofauti ya activist na politician

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pezzonovante, Oct 18, 2011.

 1. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wana jamii naomba mnisaidie hapo kwani namini nchini kwetu inawezekana kabisa tumemchukua dobi tukamleka jikoni na mpishi akapelekwa kufua nguo wanazuoni,wanajamii bila kuwasahau wanawamajumui ebu toeni mchango.
   
 2. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mwanaharakati=mwanasiasa?
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Google....
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  1. MWANAHARAKATI;hana nia ya kupata ubunge,udiwani wala cheo chochote KISIASA lakini POLITICIAN lengo lake ni kupata ivyo vyeo/nafasi

  2. MWANAHARAKATI;lengo lake kubwa ni kuikosoa serikali na kuisemea jamii kwa serikali nini inataka LAKIN POLITICIAN lengo lake si kuipundua/iitoe serikali kwa hayo mabaya atakayokosoa

  3. MWANAHARAKATI;hana posho/ruzuku bt POLITICIAN have t

  4. MWANAHARAKATI;they come n go accordingly to matukio/needs LAKIN POLITICIAN yeye yupo tu anaweza kuwa kwenye chama tangu mwaka 1977 mpk 2011 mpk lengo lake la kugombea kupata post aliyoidream itokee

  5. MWANAHARAKATI ;mara nyingi anakuwa sio KILAZA lakin POLITICIAN wengi wanakuwa vilaza/elimu nehiii ili mradi tu awe anajua kupiga domo/anajua kupika majungu na kaushirikina kdg plus na umalaya wa kuchukua wake/waume za watu basi we ni mwanasiasa bora

  6. MWANAHARAKATI; yupo up to date ,anasoma mavitabu,imtandao mara nyingi,anasoma majarida ,anahudhuria mikutano na makongamano yenye tija na siyo mvivu wa kufikiri LAKINI MWANASIASA yeye han uo mda wa kusoma wala kuperuzi what new yeye mda wake wote ni wakutafuta wabaya wake/wasaliti wake na kwenda kwa waganga (since hawajiamini awa mbuz)

  7. MWANAHARAKATI ;anakuwa yupo karibu na wananchi kusikliliza shda /needs zao lakin mwanasiasa hana mda wa kukaa na wananchi yeye mda anao wa kukaa na WAMAMA WA BARABANI..(NYERERE atumiii neno changudoa utamsikia tu akisema ..yule bwana alikamatwa na mamammoja wa barabarani...)

  8. MWANAHARAKAT ;ANAPENDA HAKI wakat POLIRTICIAN hapend wala hataki kusikia kitu haki ndo mana wanajipangia posho kuubwa wakat kule namtumbo hawana ata zahanat

  9. MWANAHARAKATI;hazai ovyo kila mtaa ana mtoto LAKIN POLITICIAN kila mtaa ana mtoto,ana mke

  10. MWANAHARAKATI;sio mnafiki,mzandiki lakin politician ni wanafiki na wazandiki

  NOTE;
  unaweza kuwa mwanasiasa na mwanaharakat at the samae time...kwa mifano apo juu najua ushawajua akina nani ni wanasiasa na wanaharakat kwa pamoja na akina nani ni WANASIASA TOTALLY..IN grand total..!!!!!

  nawasilisha ..naenda kutwanga kisamvu mie nkapike kwa raha zangu..m kitchen activist..n u? wu r u?

  pamoko.
   
 5. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145

  Rose

  Umesema yote niliyotaka kuyasema. Asante!
   
 6. K

  Kamura JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwanaharakati ni kama Tundu Lissu.
   
 7. FarLeftist

  FarLeftist JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mwanaharakati anaweza kuwa mwanasiasa, ila mwanasiasa hawezi kuwa mwanaharakati....
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  and they have one common character - expert lie and they all serve the same master - matumbo yao
   
 9. P

  Paul S.S Verified User

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Activist=Mwanaharakati
  Ni mtu yeyote anayejitolea kupigania na kutetea jambo fulani katika jamii liwepo au lisiwepo, kuna wanaharakati wa kutetea adhabu ya kifo iondolewe, haki za watoto, kutetea ushoga, mazingira nk

  Politician=Mwanasiasa
  Ni mtu yeyote anayejishughulisha na siasa,na siasa ni kazi na inafanywa kwa lengo la kutawala

  Hivyo basi mtu yeyote anaweza kuwa mwanasiasa na pia mtu yeyote anaweza kuwa mwanaharakati
   
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu umenena.

  Namuona Che Guevara kama mwanaharakati.

  Kwa maana hiyo CHADEMA hakiwezi kuchukua madaraka kwa kuwa inaonekana ni kama kusanyiko la wanaharakati?
   
 11. P

  Paul S.S Verified User

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kwa maelezo yako unaonyesha unamjua vizuri sana mwasiasa lakini napata mashaka kama unamfahamu vizuri mwanaharakati ni nani.
  Kuna wanaharakati duniani wanatetea vitu vya ajabu hata nikikuorodheshea unaweza kuanza kulia, lakini ni ma activist nao
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Mwanaharakati mpambanaji na mwanasiasa.
   
 13. P

  Paul S.S Verified User

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu ukizingatia na mfumo wa siasa zetu kuwa lazima upitie kwenye chama, hivyo basi CDM ni totally wanasiasa.
  CDM si wanaharakati bali wanatimiza wajibu wao wa kikatiba kama chama cha siasa na lengo lao ni kuiondoa CCM madarakani ili wakae wao wafanye wanachokiamini kitatusaidia kisiasa.
  Mwanaharakati ni mtu anayejitolea kupigania na kutetea jambo fulani ktk jamii liwe baya au zuri, na mara nyingi huwa hana sapoti kubwa ya kisheria zaidi ya ile ya kikatiba ya uhuru wa kuongea
  CDM hawana hata sifa moja ya uwanaharakati kwakuwa wana practice siasa kwa asilimia mia moja kama mbadala wa mtawala.
  Labda ndani ya CDM mtu binafsi anaweza kuwa mwanaharakati wa kitu fulani
   
 14. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  rose asante kwa mchango wako kwa kweli si mzuri wa sura tu na akili pia tupo pamoko
   
 15. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  paulss asante kwa mawazo mazuri
   
 16. K

  Konya JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  darasa la ukweli,ila mwisho kama fuse zilianza kukata moto,,,bt thax
   
 17. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wangari Maathai Vs Wilbroad Slaa,
   
 18. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Naona kama nchi yetu inahitaji wanaharakati wengi kama maathai, kwani tunawasiasa uchwala wa kumwaga
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  we wasema
   
 20. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  labda nkupe darasa wewe juuu ya wanaharakati...
  nawajua very well juu ya mabaya na mazuri yao in society...pia yakupasa utambue what is good n what is bad..IS RELATIVE..SO ZINGATIA ILO UKITAKA KUEPEUKA BIASNESS.....kuna wanaotetea ushoga i knw utasema i mbaya..even me naona mbaya bt some place some whre wanasema yap its good...kuja wanaotetea mapadrewaoe/mashoga wawe maaskofu...masista nao wapewe hadhi ya mapadre...waaarabu wapewe nini sjui..waklristu wapewe nin sjui...al queeda wanfanya vyema ....wengne wanasema noo..so it depend mr u.

  nawajua very welllllllllllllll....
  ur welcome

  KWANGU NAMPENDA CHE namwona km mwanapinduzi/mwanaharakat wa ukwee...nyerere too kwangu activist wa ukweli...boby marley..walter rodney....wengi wengi wengi...even jesus so to say was ACTIVIST....niaje apo?ukikataa we mkaidi.

  nawasilisha
   
Loading...