Naomba tofauti kati Degree hii kwa UDSM na UDOM

UDSM usifananishe na ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama profesa wenu anasema alikuwa jalalani, nyie mnaokalili,mna jipi jipya.

UDSM ni chuo kikongwe, kina miundombinu ya kutosha,kuriko vyuo vingi, lakini product inayotoka hapo, sio bora kuriko vyuo vingine, yaani,uwezi kusema msomi wa udsm ni sawa na WA havard, makelele.

Hawa wasikuhizi tunaokutana nao mtaani/makazini wanakiburi cha "u udsm"kazi Hakuna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna anything special kwa watu waliosoma UDSM kama mnavyotaka kutuhaminisha , nashindwa kuelewa logic mnayotumia kipambanisha vyuo, ukongwe wa chuo haukufanyi wewe kuwa bora zaidi ya mwingine, binafsi namesoma UDOM lakini sioni anything special kwa wanafunzi wa UDSM, kusema kwamba UDSM wanachukua wanafunzi wenye marks za juu ni uongo , nafahamu wanafunzi ambao tumesoma nao ambao nimewapita mbali kabisa na wamechaguliwa hapo,

dhana ya kutaka kusifia chuo chako ilikuonekana special ni ujinga na ulimbukeni , hoja ya kwamba UDSM ni chuo kikongwe ni hoja ya kijinga, hata kama UDSM itachukua wanafunzi waliopata marks za juu hakuifanyi UDSM kuwa bora , sisi tuliosoma masomo ya computer tunafahamu kuna watu walikuja chuo na div one na wamedisko chuo, nataka nikuambie hakuna uhusiano wa elimi ya sekondali na elimu ya chuo eti kwamba kama ulikua unapata marks nzuri sekondali basi utakuwa bora chuo,

Mwaka jana UDOM walikua washindi katika mashindano ya vyuo vinavyofundisha sheria ambapo UDOM ilienda kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo ya kimataifa , nikuulize swali kama UDSM ni bora na UDOM ni chuo cha kata kwanini katika shindano la hivyo vyuo UDSM hawakushinda na kwenda kuwakilisha nchi yetu huko kama wao ni bora kuliko UDOM, siku zote unapokosa something about you utatafuta sababu za kijinga za kukufanya ujione wewe ni special utaanza kujisifu chuo ulichosoma utaenda mpaka kujisifia mali za shemeji yako ilikujiona wewe ni special lakini deep down hauna lolote


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama unajua wametokea udsm ambapo unapaita bora iweje watoe elimu mbovu udom?

Sent using Jamii Forums mobile app
Me mwenyewe najiulizaga Kila siku swali hili.. Pale UDOM lecturers wengi Ni best students wa UDSM, SUA, Muhimbili na SAUT. N.k iweje elimu ya UDOM itiliwe mashaka au labda hivyo vyuo vikongwe vilitoa watu incompetent wenye GPA kubwa, na Kama ndio hivyo basi hata hivyo vyuo vikongwe elimu yake inapaswa kutiliwa mashaka. Walimu wengi UDOM ni vipanga wenye GPA za 4.5+. Huenda wakishaingia UDOM na kufundisha basi ule ubora wao unaondoka🤣🤣🤣
 
Me mwenyewe najiulizaga Kila siku swali hili.. Pale UDOM lecturers wengi Ni best students wa UDSM, SUA, Muhimbili na SAUT. N.k iweje elimu ya UDOM itiliwe mashaka au labda hivyo vyuo vikongwe vilitoa watu incompetent wenye GPA kubwa, na Kama ndio hivyo basi hata hivyo vyuo vikongwe elimu yake inapaswa kutiliwa mashaka. Walimu wengi UDOM ni vipanga wenye GPA za 4.5+. Huenda wakishaingia UDOM na kufundisha basi ule ubora wao unaondoka
Ndugu YANGU nakubaliana na wewe umewaza vizuri, Jambo lingine ili uweze kutambua elimu ya UDOM kasome pale au mdogo wako asome pale utapata la kusema Kwa jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania kwa kiasi kikubwa uwezo wa kufikiri ni mdogo sana,,,chulia kwa mfano huyu anasifia chuo cha UDSM kuwa kinatoa elimu bora bila kutambua kwamba sisi tupo huku kwenye FIELD kitaa tunawaona hao anaowasifia walivyo weupe kichwani,,,

competence ya mtu ina mchango mdogo sana na chuo anachosoma,,,suala ni mtu mwenyewe understanding yake ikoje,tuache ushamba wa kitanzania kwenye suala la kipi chuo kinatoa elimu bora dhidi ya chuo/vyuo vingine
 
Watanzania kwa kiasi kikubwa uwezo wa kufikiri ni mdogo sana,,,chulia kwa mfano huyu anasifia chuo cha UDSM kuwa kinatoa elimu bora bila kutambua kwamba sisi tupo huku kwenye FIELD kitaa tunawaona hao anaowasifia walivyo weupe kichwani,,,,competence ya mtu ina mchango mdogo sana na chuo anachosoma,,,suala ni mtu mwenyewe understanding yake ikoje,tuache ushamba wa kitanzania kwenye suala la kipi chuo kinatoa elimu bora dhidi ya chuo/vyuo vingine
Hapa hatuzungumzii mtu tuna zungumzia chuo, huwezi linganisha Kibaha na Shule ya kataa huwezi linganisha Tanga Tech na Shule ya Kataa huwezi linganisha Havard na UDSM vivo hivyo huwezi linganisha UDOM na UDSM,
 
Sasa kwanini mnashika nafasi ya 189
Hizi ranks ndugu wanatazama mambo mengi kwa hapa ngoja nikupe vitu viwili, Ukonge wa chuo na Products.

Udom kina miaka 13 tu toka kiazishwe wakati Udsm kina zaid ya 50+ year
Udsm kina products nying za ma proffesa na Dr.. Ambao wamefanya Tafiti mbali mbali na ku published kimataifa, Pia zimeleta impact kwa jamii, so kwa halihiyo uwezi kikifananisha na udom.

Udom kina miaka 13 tu... Ndani ya miaka kumi ni ngumu kuzalisha maproffesa wa kutosha, ProductS zake bado changa.

Kwa maana nyingine hata kama tukibadilisha wakufunzi wote wa Udsm tupeleke Udom na wa udom tuwarudishe udsm Bado kwenye ranks Udsm itabaki kuwa bora zaid ya Udom.
Kwa maoni yangu Udom ni bora kuliko Udsm..?

Ndio, Kwa sababu kuwa kwa kipindi hichi kifupi tu udom umeweza kujipambanua na kufika nafasi ya 4 kati ya vyuo 50+ , Pia kimechukua tuzo mbalimbali niliwahi kusikia informatic walichukau tuzo ya Africa nzima kuhusu kutengeneza celiot program, Ujio huo wa kasi wa Udom ni changamoto kwa Udsm ambayo inatakribani 50+ years, and then ndani ya 13 yr watu wamefanya makubwa,

Kuipambanisha udsm na udom mm naona ni kama kupambanisha bondia mkonge na bondia kijana,Kabla ya kuingia ulingoni mwenye mataji mengi hataibuka mshindi wa jumla,Historia itambeba
Udsm ina campus mkoani vipi tunaweza kuifananisha na udom? Au hata college moja tu
 
Back
Top Bottom