Naomba tofauti kati Degree hii kwa UDSM na UDOM

Wewe ni mjinga wa kiwango cha lami. Na hapa ndipo huwa mnadhihirisha kuwa hapo UDSM ni vilaza tu wala hamna lolote kazi kujisifia ujinga tu.

Ina maana wanaosoma vyuo vingine hawakufaulu? Ina maana vyuo vingine havina wahitumu walipata division one advance?

Hivi nyie wasomi wa UDSM hata "notes" mnaita "notice" ndio mnapenda kuvimba kipumbavu namna hii?
Mkuu naona admision yako udsm ilishindikana ndo maana una hasira nao sana
Pole sana kaka ndivyo maisha yalivyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna anything special kwa watu waliosoma UDSM kama mnavyotaka kutuhaminisha , nashindwa kuelewa logic mnayotumia kipambanisha vyuo, ukongwe wa chuo haukufanyi wewe kuwa bora zaidi ya mwingine, binafsi namesoma UDOM lakini sioni anything special kwa wanafunzi wa UDSM, kusema kwamba UDSM wanachukua wanafunzi wenye marks za juu ni uongo , nafahamu wanafunzi ambao tumesoma nao ambao nimewapita mbali kabisa na wamechaguliwa hapo,

dhana ya kutaka kusifia chuo chako ilikuonekana special ni ujinga na ulimbukeni , hoja ya kwamba UDSM ni chuo kikongwe ni hoja ya kijinga, hata kama UDSM itachukua wanafunzi waliopata marks za juu hakuifanyi UDSM kuwa bora , sisi tuliosoma masomo ya computer tunafahamu kuna watu walikuja chuo na div one na wamedisko chuo, nataka nikuambie hakuna uhusiano wa elimi ya sekondali na elimu ya chuo eti kwamba kama ulikua unapata marks nzuri sekondali basi utakuwa bora chuo,

Mwaka jana UDOM walikua washindi katika mashindano ya vyuo vinavyofundisha sheria ambapo UDOM ilienda kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo ya kimataifa , nikuulize swali kama UDSM ni bora na UDOM ni chuo cha kata kwanini katika shindano la hivyo vyuo UDSM hawakushinda na kwenda kuwakilisha nchi yetu huko kama wao ni bora kuliko UDOM, siku zote unapokosa something about you utatafuta sababu za kijinga za kukufanya ujione wewe ni special utaanza kujisifu chuo ulichosoma utaenda mpaka kujisifia mali za shemeji yako ilikujiona wewe ni special lakini deep down hauna lolote


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeongea vizuri Sana, kabisa unaweza ukasema haya ni mawazo ya mtu aliesoma chuo kikuu, sio wale wenzetu hoja yao kubwa et tulikosa Kuwa admitted UD!!! Khaa!!!
 
Benhorta, Hivi ni kweli udom imeanzishwa 2010?
Hata watu ambao hatujasoma sana hatuwezi kukubaliana na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry, imeaziswa 2007 , Right now itakuwa na miaka kama 13 hiv ,
Ila ulipaswa ujiongeze tu kuwa wahitimu wa Kwanzaa udom ni 2010 , Jambo dogo tu liliitaji kufikiria mwenyewe, Yani wanafuzi wa kwanza kabisa kupata degree udom ni 2010
 
Tofauti iliyopo ni majengo ya chuo na mkoa utakaosomea .

Masomo ni Yale Yale ambayo yameidhinishwa na TCU

Walimu wengi wa UDOM wasoma UDSM

Hzi ngebe na ngendembwe za kutambiana unazoona hapa ni muendelezo wa ujinga na umaamuma .

Kitakachokufanya uwe deep katika hio fani ni wewe mwenyewe juhudi zako sio jina la chuo

Akili za kuambiwa changanya na zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Degree ya UDOM hata iwe ya MD inazidiwa na BAED ya UDSM. zile division one clean zote zinaenda UDSM zilizosalia ndo zinaenda vyuo vingine vingine
 
Degree ya UDOM hata iwe ya MD inazidiwa na BAED ya UDSM. zile division one clean zote zinaenda UDSM zilizosalia ndo zinaenda vyuo vingine vingine
Do companies hire individuals based on the college/uni they graduated? If it's so then no need to call non-ud graduates for the interview... Or have you ever come across any job post restricted to only ud graduates? After all,what matter are your skills,strength and how far you've impressed the interviewer.
 
Do companies hire individuals based on the college/uni they graduated? If it's so then no need to call non-ud graduates for the interview... Or have you ever come across any job post restricted to only ud graduates? After all,what matter are your skills,strength and how far you've impressed the interviewer.
Yes, many companies do that
 
Kitu MLIMANI CAMPUS mkuu real nakwambia hutojutia chaguzi yako, kuna vyuo ukisoma utabaki na msongo wa mawazo siku zote. Lakini kuna vyuo ukisoma ukienda popote ukijitambulisha tu watu wote wanakaa kimya na kuanza kukusikiliza.
Toa mindset ya U udsm na U udom..
Tofauti ni wewe mwanafunzi.
Kote wanatoa Msingi na mwanga kidogo.
Ila wewe ndio muendelezaji.
Hata uwe Harvard ila kama wewe utabweteka bwii..
Hakuna digrii utakayo ona nzuri
 
Back
Top Bottom