I Ikariiah JF-Expert Member Joined Jul 17, 2019 Posts 210 Reaction score 286 Nov 23, 2021 #1 Naomba tafsiri ya 'Open Day' kwa Kiswahili.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,094 Reaction score 121,470 Dec 7, 2021 #2 Siku ya ufunguzi,siku ya maonyesho, Siku ambayo watu huruhusiwa kuingia na kukagua au kuangalia jambo ambalo hua sio rahisi kuruhusiwa katika siku za kawaida, Wataalamu watakuja kutoa ufafanuzi zaidi.
Siku ya ufunguzi,siku ya maonyesho, Siku ambayo watu huruhusiwa kuingia na kukagua au kuangalia jambo ambalo hua sio rahisi kuruhusiwa katika siku za kawaida, Wataalamu watakuja kutoa ufafanuzi zaidi.
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,742 Reaction score 25,678 Dec 28, 2021 #3 Siku ya ufunguzi au uzinduzi