Wadau wa lugha naombeni maana ya neno yafuatayo kwa kiingeleza
1. Ukanushi
2. Yakinishi
sent using
Ukanushi... ni DenielWadau wa lugha naombeni maana ya neno yafuatayo kwa kiingeleza
1. Ukanushi
2. Yakinishi
sent using
Nimeona sehemu pameandikwa
Nitakula (uyakinishi)
Sitakula (ukanushi)
Sasa uyakinishi ni nini kwa kiingeleza?
sent using
Wadau wa lugha naombeni maana ya neno yafuatayo kwa kiingeleza
1. Ukanushi
2. Yakinishi
sent using
ok turudi kwenye swali langu basikiingeleza= kiingereza
Ungeanza kwa kujifundisha kuandika Kiswahili kwanza.
Hizi R na L nnaelewa kuwa wengi mna shida ya kuzitamka basi hata kuziandika?
Ni shule mlizosoma ziliwafundisha ujinga au ni ujinga wa kuzaliwa?
Ni kiswahili sanifu kabisa ndugu yanguSiyo kiswahili sanifu sana, possibly ni cha wenzetu wa-Kenya hao! Naona kama niko sahihi vile nilivyokujibu, au?
Wadau wa lugha naombeni maana ya neno yafuatayo kwa kiingeleza
1. Ukanushi
2. Yakinishi
sent using
Wadau wa lugha naombeni maana ya neno yafuatayo kwa kiingeleza
1. Ukanushi
2. Yakinishi
sent using
Live to work.Mnisaidie maneno ya kiingereza kwa hii kauli 'Hapa kazi tu'
Nahisi ni matumizi ya maneno 'Will' - uyakinishi na 'Won't' - ukanushi.Nimeona sehemu pameandikwa
Nitakula (uyakinishi)
Sitakula (ukanushi)
Sasa uyakinishi ni nini kwa kiingeleza?
sent using