Naomba tafsiri ya maneno yafuatayo kwa kiingereza

1. Ukanushi-DENIAL
2. Yakinishi????? you mean PROBABLE, yaani yamkini?
Nimeona sehemu pameandikwa

Nitakula (uyakinishi)
Sitakula (ukanushi)

Sasa uyakinishi ni nini kwa kiingeleza?

sent using
 
Nimeona sehemu pameandikwa

Nitakula (uyakinishi)
Sitakula (ukanushi)

Sasa uyakinishi ni nini kwa kiingeleza?

sent using

Siyo kiswahili sanifu sana, possibly ni cha wenzetu wa-Kenya hao! Naona kama niko sahihi vile nilivyokujibu, au?
 
Wadau wa lugha naombeni maana ya neno yafuatayo kwa kiingeleza

1. Ukanushi
2. Yakinishi

sent using
kiingeleza = kiingereza

Ungeanza kwa kujifundisha kuandika Kiswahili kwanza.


Hizi R na L nnaelewa kuwa wengi mna shida ya kuzitamka basi hata kuziandika?

Ni shule mlizosoma ziliwafundisha ujinga au ni ujinga wa kuzaliwa?
 
kiingeleza = kiingereza

Ungeanza kwa kujifundisha kuandika Kiswahili kwanza.


Hizi R na L nnaelewa kuwa wengi mna shida ya kuzitamka basi hata kuziandika?

Ni shule mlizosoma ziliwafundisha ujinga au ni ujinga wa kuzaliwa?
ok turudi kwenye swali langu basi

sent using
 
Nimeona sehemu pameandikwa

Nitakula (uyakinishi)
Sitakula (ukanushi)

Sasa uyakinishi ni nini kwa kiingeleza?

sent using
Nahisi ni matumizi ya maneno 'Will' - uyakinishi na 'Won't' - ukanushi.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom