Mr Msagati Member Dec 31, 2019 5 1 May 11, 2023 #1 Naomba kufahamu visawe vya maneno yafuatayo 1. Bahati Naomba maana ya neno Nuksani!
Toxic Concotion JF-Expert Member Aug 5, 2015 5,667 20,363 May 11, 2023 #2 Bahati - ngekewa Nuksani - hasara, mapungufu, uharibifu