Naomba sapoti kutoka Serikali kama watakubali

Mimi ni kijana mdogo tu
Nina technolojia yangu ambayo inaweza kusaidia inchi yangu kama nitapewa nafasi ya kusikilizwa na kupewa sapoti kwa kile ninacho kifanya

Nina uchawi wangu ambao unaweza kutumiwa kupoteza au kuzima au kubadirisha mwelekeo wa kitu chochote kile kama risasi, ndege, gari na vitu vitu vingine sasa nimeona kuliko kusaidia watu wakafanye maovu ni bora ni saidie inchi nimefikiria hivi kweli kitu hiki akiwezi kusaidia nchi yangu kama kujilinda pale tunapo kuwa kwenye vita.

Ndo maana nina omba Serikali yangu kama watakubali ni wape kitu iki
Na sio kuwapa tu wajaribu wenyewe kutumia.

Ikiwa nina danganya wanipige risasi apo apo nife
Kijana mdogo bado unaendelea ushirikina. Nenda Kanisani wa kuombee.... La endelea na biashara yako ya ushirikina.
 
Naona nachekwa tu ok asanteni ndugu zangu nilifikiri nitapata sapoti kwenu ili jambo hili tulifikishe serekali ila ninacho vuna na kicheko tu ila ufupi jambo hilo linawezekana tu basi
Nifundishe mim uchawi nijue
 
Kuna mda jamii forum inakuwa jukwa la ujinga ila badala ya kumhoji mtu na kumdadisi tunabaki kucheka na kumuona kituko au bangi akitokea mwingine anauwezo wa kutengeneza au kuvumbua kitu au kuwa na wazo lolote kwa majib mnayompa mtoa mada ngumu sana kizazi cha Tanganyika kuendelea
 
Mimi ni kijana mdogo tu
Nina technolojia yangu ambayo inaweza kusaidia inchi yangu kama nitapewa nafasi ya kusikilizwa na kupewa sapoti kwa kile ninacho kifanya

Nina uchawi wangu ambao unaweza kutumiwa kupoteza au kuzima au kubadirisha mwelekeo wa kitu chochote kile kama risasi, ndege, gari na vitu vitu vingine sasa nimeona kuliko kusaidia watu wakafanye maovu ni bora ni saidie inchi nimefikiria hivi kweli kitu hiki akiwezi kusaidia nchi yangu kama kujilinda pale tunapo kuwa kwenye vita.

Ndo maana nina omba Serikali yangu kama watakubali ni wape kitu iki
Na sio kuwapa tu wajaribu wenyewe kutumia.

Ikiwa nina danganya wanipige risasi apo apo nife
[emoji116][emoji116]
20221007_223741.jpg
 
Mwenzako huko nigeria alikua anajaribu kuzuia risasi kwa hirizi amekufa
 
Back
Top Bottom