Naomba Prof. Patrick Lumumba awekwe kwenye majadiliano ya Acacia

Akiwekwa huyu,basis wale maraisi wawili nao pia wawemo itanoga vizuri
 
Huyu jamaa pia nilikuwa naomba awemo kwenye timu ya acaccia ya mazungumzo. Huwa nampenda sana, nadhani raisi akimuweka sio mbaya. Nimewaza tu.. Naona kama mzalendo wa bara la Africa.
Watafuteni pia maprofesa wote Afrika tunaowapenda (tukiacha wa Tanzania) tuwaweke kwenye timu ya Acacia ya mazungumzo. Huwa tunawapenda sana, tunadhani raisi akiwaweka sio mbaya. Nawaona kama wazalendo wa bara Afrika.

Akili za Mtanzania bwana...ndiyo maana wenzetu wanapiga hatua sisi tuko pale pale na CCM yetu, ujinga kweli mzigo. Sijui maprofesa wetu tunawaweka kundi gani hapa! Yawezekana mleta mada hajui hata historia ya huyo Prof. Lumumba.
 
Huyu jamaa ni shabiki mkubwa wa Mr presidaa, hatuwez kumshirikisha kwenye mazungumzo yetu na barrick .
Yeye ni mkenya sisi ni watanzania tunamjumuishaje kwenye mazungumuzo yetu?
Ni prof prof muzuri sana yaani katika jopo La learned friends wa East Afrika hakosi
 
Wabongo wakisikia neno professor basi wanaloa huko chini yani sijui nani kawaloga! Huyo prof kuna mambo mengi tu anaendaga chaka alimsifia sana rais wa Nigeria siku izi naona kafunga bakuli simsikii akimsifia
jamaa yuko vizuri. Ni nguli wa sheria za kimataifa katika biashara
 
Huyu jamaa ni shabiki mkubwa wa Mr presidaa, hatuwez kumshirikisha kwenye mazungumzo yetu na barrick .
Yeye ni mkenya sisi ni watanzania tunamjumuishaje kwenye mazungumuzo yetu?
Ni prof prof muzuri sana yaani katika jopo La learned friends wa East Afrika hakosi
Hizi ni akili mgando. Kwani akiwa mkenya wakti ni expert na sisi ma expert wetu wapo tatizo ni nini? Mnapenda uzalendo, wakti wazalendo wanawaliza kila siku
 
Mkuu unajua chanzo cha kutumbuliwa kwake? Au unaropoka tu!! Huyu alianza kufatilia mali za mawaziri na wale watu wakubwa wakubwa serikalini. Ndo ilikuwa tatizo
Iweje tatizo wakati ndo ilikuwa kazi yake? (Hakuwa pale kuhubiri injili ya kwenye biblia ama Kuhifadhi Quran). Swali Ni he yeye Alikuwa msafi? Maana ukianza kupekenyua ya wenzako, uwe Na ww msafi....refer to Bashite saga...sijafanikiwa kukutana Na Mkenya asiyependa Kona Kona.
 
Back
Top Bottom