Naomba Penal Code, na Maboresho Yake Yote

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,210
Nimekuwa nikipata changamoto juu ya Penal Code, na maboresho yake yote yaliyofanywa na Bunge.
Hii itasaidia kwani maboresho hayo hayapo wazi kwa wengi. Hii inafanya watu kuona kana kwamba sheria ni dhaifu au zimepitwa na wakati.
Ahsante kwa atakayetusaidia.
 
ingia kwenye web hii, ndani yake utavipata vyote. mle ndani bofya kwenye downloads,ukiona kanuni ya adhabu au sheria nyingine yeyote ile bofya, zipo kweney pdf. bofya SHERIA KWA KISWAHILI
 
Back
Top Bottom