Naomba niwaumize Yanga kwa kusema ukweli, Sudan hamuwezi kutoboa!

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Aug 31, 2020
7,621
16,700
Habari Wakuu.

kweli huwa unaweka huru, japo inaumiza sana. Ndugu zangu Yanga, mtatamba sana kwenye ligi yetu, mtatamba mno. Bila Simba kuongeza "Quality 4" mtaisumbua sana.

Linapokuja suala la mechi za kimataifa Yanga wataendelea kuteseka, kuumia, kukosa furaha, kujeruhiwa nk. kwa sababu zifuatazo;

1. Kumtegemea mchezaji mmoja tu kwenye safu nzima ya ushambuliaji.
Yanga inaushamba mwingi sana wa kumtegemea Fiston Mayele madegedege mzee wa kutetema, kitu ambacho kitawaumiza sana.

Eneo hili la ushambuliaji kwa Simba liliwahi kuwa na bora zifuatazo.
  • Chris Mugalu
  • Emanuel Okwi
  • Medie Kagere
  • John Bokko

Ukiachana na hapa kwenye ushambuliaji Simba imekuwa na wapishi bora kama Chama, Miqque, Okrah, Phiri, n.k, wakati Yanga anayetegemewa ni Mayele tu!

KWELI MBELE MWIKO NYUMA MWIKO, MAKUNDI MTAENDELEA KUYASIKIA KWA SIMBA.

Endeleeni kupokea wageni.

Sudani 2 - 0.
 
Kwani Simba Mmeshachukua Makombe Mangapi Ya CAF Mpk Sasa?
Hili swali hutakiwi kuuliza kama una akilintimamu kwa sababu mafanikio hayapimwi kwa kombe tu katika mashindano haya bali kwa mambo kadhaa kama vile
1. Klabu ina rank ipi afrika.
2. Nchi ina rank ipi afrika
3. Kiuchumi klab imenufaikaje afrika
4. Ligi inapeleka wawakilishi wangapi

Narudi kwenye swali lako, kwani simba wamechukua makombe mangapi afrika?

Swali hili linafanana sana na hili

Kwani mayele anavyoabudiwa na kutangazwa daily ana viatu vingapi vya dhahabu tangu azaliwe?

Kwakuwa mimi nishajibu swali lako nawe jibu la kwangu huku nikikukumbusha kuwa;
1. Sakho ana kiatu cha caf
2. Phiri anakiatu huko zambia
3. Chama ni MVP wa ligi yetu
4. Inonga ni beki bora wa ligi yetu
5. Manura ana glov nne za dhahabu n.k
 
Mafanikio Ya Timu Yoyote Duniani Yanapimwa Kwa Kubeba Mataji Tu…Kama Huchukui Mataji Kuwa Mpole Usitake Kujipa Ukubwa Ambao Huna
 
Hili swali hutakiwi kuuliza kama una akilintimamu kwa sababu mafanikio hayapimwi kwa kombe tu katika mashindano haya bali kwa mambo kadhaa kama vile
1. Klabu ina rank ipi afrika.
2. Nchi ina rank ipi afrika
3. Kiuchumi klab imenufaikaje afrika
4. Ligi inapeleka wawakilishi wangapi

Narudi kwenye swali lako, kwani simba wamechukua makombe mangapi afrika?

Swali hili linafanana sana na hili

Kwani mayele anavyoabudiwa na kutangazwa daily ana viatu vingapi vya dhahabu tangu azaliwe?

Kwakuwa mimi nishajibu swali lako nawe jibu la kwangu huku nikikukumbusha kuwa;
1. Sakho ana kiatu cha caf
2. Phiri anakiatu huko zambia
3. Chama ni MVP wa ligi yetu
4. Inonga ni beki bora wa ligi yetu
5. Manura ana glov nne za dhahabu n.k
Ungejibu swali ingekua better sana chief.

African giants such as Al ahly,Raja Casablanca,Wydad,Tp Mazembe have several CAF titles.

Wewe ambaye ume success kimataifa una mangapi?

Kama una kabatini hauna any CAF title yoyote maana yake wewe ni bure tu kama huyo Yanga .

Ukweli lazima usemwe.
 
giphy.gif
 
Utopolo wana nafasi finyu ya kutumia mwanya wa wapinzani kufunguka, wale inawezekana wakafunguka kushambulia, hapa ndipo nafasi finyu ilipo iwapo mabeki watafanya kazi nzuri, ikiwa watacheza mchezo waliocheza kwa mkapa na utopolo wakapanda sana hiyo itakuwa ni bahati nasibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom