Naomba niwaage

Mnyaa nimeshamuagiza mtu kesho nikiamka salama ntaletewa nitumie mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana ram.
Waambie ninawapenda sana pia, na ahsante kwa maombi yao...
Moja ya sms kutoka kwa ushmen, yuko okay japo anapita kwenye changamoto, tuendelee kuombeana wapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie awe strong, dunia inataka tuwe strong hivyo aondoe woga na kujijengea kujiamini. He's a good human being, tunamuombea!!
 
Hata mm situation ndio Kama hiyo nikivuta pumzi nakohoa,mafua ,siskii harufu ya kitu chochote,uchovu bila kufanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu, nimetokewa na hali kama hizo kuanzia juzi, hakika tutapita salama.

Kwako Ushimen usikate tamaa namna hii, ni mbaya fight bila kuchoka, jifukize, na kutumia viungo tulivyoelekezwa. Inasaidia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa self isolation nimezurura sana JF, nafikiri imekua sehem ya kunipunguzia mawazo na kunipa burudani.

Ushimen endapo tatizo ni huu ugonjwa kukata tamaa ni kosa kubwa sana mkuu. Kwanza sio kila anaeupata anaondoka, kuna kundi la watu wengi tu wanapona tena wengine bila hata msaada wa hospital, hatari ipo lakini sio kubwa kiasi hichi mkuu.
 

Nimekuelewa sana mkuu, Hakika hofu ndio inamaliza wengi.
Together we shall get through this.! It’s actually tough and uncertain times, but we have Jesus son Of God who can make it certain.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Suala la kwenda hospitali mkuu kwa sasa sio la kulipa kipaumbele.! Ni bora ukigundua unalo tatizo basi ji isolate, Tumia mchanganyiko wa Kitunguu swaumu, Limao, Tangawizi na Asali kila mara kwa kunywa. Hii inaweza kuokoa maisha yako.
Hospitali zinawakataa wagonjwa, wanawaambia waende kwenye hospitali zilizotengwa. Na shida kubwa inakuja huu ugonjwa wakati mwingine unakuja na dharura.!


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_3058.JPG
    133.6 KB · Views: 6
umetumia vyote hivyo kwa pamoja?
 
Mkuu Ushimeni, njia ya kwanza ya kusaidika nikuweka wazi tatizo lako.


Ikiwa ni hofu ya Corona, basi niseme acha kujiua na stress, sogea Hosp uchekiwe ...

Kwanza niwatake watanzania wote, Imani kwa Mahosp yetu nilazima tusiipoteze.

Vema uende ,ili tatizo linalokusumbua liwekwe wazi.


Nahata kama Utaambiwa una Corona, bado hujachelewa, Amini kua wewe ni mmoja ya wanaopona .



Kitendo chako cha kukaa nyumban, bila kujua shida nn, sio njia ya kutatua tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…