Ndio huu huu mkuu,ndio wametuambia unatibu corona na naimani ni kweli inasaidiaSisi kwetu ni dawa nzuri Sana hii
Haya Majani unayalowesha Alaf unayakamua unatengeneza juisi ni chungu Sana, Unaitwa mzungwa
Huo Mmea wa Madagascar unaitwaje?
I'm on that good kush and alcohol
Endelea kupambana mkuu, utatoboa tuKamanda angu bado napambana mara napata nafuu,Kuna muda nazidiwa hivo hivo ndio nimetoka kuchukua hii dawa nitumie tena niskilizieView attachment 1437734
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani uzuri wa hiyo dawa inafiti popote, unaweza kuinywa yenyewe tu, au ukaichemsha na tangawizi (chai) au ukaichanganya kwenye nyungu ukajifukizaNshapiga mkuu Ila ni chungu balaa Ila naona reaction yake iko fasta
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inatikaje?Kamanda angu bado napambana mara napata nafuu,Kuna muda nazidiwa hivo hivo ndio nimetoka kuchukua hii dawa nitumie tena niskilizieView attachment 1437734
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ugonjwa ukianza hofu tu..ujuwe ndo unauita...maana ukijihisi dizzy tu..utaona tayari..Mkuu, vichwa vinauma mpaka tunawaza unthinkables
Corona nn?Kwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.
Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.
Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.
Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.
Ngoja nipambanie hii pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh, this is very comforting, ulipmwa kabisa na kudhibitika??!Corona ipo mtaani na watu wanaugua... Acha kuogopa Mimi nimepata maambukizi ya Corona mara mbili na mara zote nimepona bila kunywa hata Panadol.
Mwanaume acha kulialia, show us your strength and endurance kwenye magumu Kama haya. As survival chance Ni kubwa Kama wewe Ni kijana usie na chronic disease, you are safe... And so why worrying?
Na Kama hujui hofu ndio adui yako mkubwa Sasa, watu wengi walikuwa na ukimwi bila kujua na waliishi kwa Amani kwa miaka mingi ila walipoambiwa tu Wanao ukimwi HIV walikufa mapema kwa sababu walikaribisha hofu.
Fear is the darkenes
Hope is the lantern.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana watu hawapendi kupima pimaCorona ipo mtaani na watu wanaugua... Acha kuogopa Mimi nimepata maambukizi ya Corona mara mbili na mara zote nimepona bila kunywa hata Panadol.
Mwanaume acha kulialia, show us your strength and endurance kwenye magumu Kama haya. As survival chance Ni kubwa Kama wewe Ni kijana usie na chronic disease, you are safe... And so why worrying?
Na Kama hujui hofu ndio adui yako mkubwa Sasa, watu wengi walikuwa na ukimwi bila kujua na waliishi kwa Amani kwa miaka mingi ila walipoambiwa tu Wanao ukimwi HIV walikufa mapema kwa sababu walikaribisha hofu.
Fear is the darkenes
Hope is the lantern.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namimi nimeshtuka nilipoona mnyaa, ni hatari sana usipokuwa makini
Exactly!Duuh, this is very comforting, ulipmwa kabisa na kudhibitika??!
hii dawa nzuri sana ya tumbo lililochafuka ila chungu kwelikweli ,Kamanda angu bado napambana mara napata nafuu,Kuna muda nazidiwa hivo hivo ndio nimetoka kuchukua hii dawa nitumie tena niskilizieView attachment 1437734
Sent using Jamii Forums mobile app
Nshapiga mkuu Ila ni chungu balaa Ila naona reaction yake iko fasta
Sent using Jamii Forums mobile app
inasemekana kuna kituo kipya PTA HALLPOLE MKUU UKO MLOGANZILA AU AMANA?