Naomba niwaage

Kamanda angu bado napambana mara napata nafuu,Kuna muda nazidiwa hivo hivo ndio nimetoka kuchukua hii dawa nitumie tena niskilizieView attachment 1437734

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia chochote utakachoambiwa..Kusikia nafuu ndio safari ya kupona.
I command you not to Die,Be strong and obey this order.
Hakikisha unafika December
 
Ushimen kwa usmart wako sikutegemea kabisa kuona uzi wa namna hii, Marufuku kukataa tamaa japo hatujui ni Convid au nini ila toa hofu kabisa mimi nahisi nilikuwa na corona nilijigundua na nikatulia tuli ndani nisiambukize mtu yoyote mpaka nimepona hakuna hofu wala nini
 
Wenda ana maradhi mengine ambayo ndio hofu yake ipo huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhola sana bhabha eng'washi

Eti anawaambia wachome minyaa kwenye jiko la mkaa watafune watibu kikohozi.
Ile kweli ni dawa ila uls muwasho wake ni hatari na ukiutumia mara nyingi unasababisha kikohozi kiwe chronic

Mnyaa naujua vizuri sana, ule utomvu wake unavutia ukiuona,,ila cjasikia mtu akila mnyaa,,ndio kwanza nackia mkuu.
 
Mkuu umekuwa muwazi katika hili la kutisha.
Mungu atakuwa nawe, wala usihofu, tutapambana humu mtandaoni baada ya wiki mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…