Naomba niwaage

Samahani.
Ungemuuliza mwenyewe.
Na kuniuliza hapa ni kunikosea sana.
Huyo ni mume wa mtu na baba wa familia kadhaa.
Na pengine wategemezi wake wanamuhitaji kuliko anavyojihitaji mwenyewe.
Je kuna tatizo mimi kuandika au kuna ubaya wowote niliouandika mpaka kuniuliza hayo?
You sound like shemeji kwa mwenzetu..Your tone tell loving sorry to him.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeleweka mkuu, he will be okay Mamy Mungu atamsaidia. ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijari hakumaanisha baya lolote!!

IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!
 
Tuendelee kumuombea. Hatua aliyofikia sasa si ya kumwambia asiwe na hofu, ni hatua ya kumsaidia kisaikolojia zaidi kwa wale waliopo karibu naye. Tayari hofu yake iko juu sana, apewe mifano hai ya wale waliopona na pengine aina za dawa mbalimbali zenye kusaidia.
 
Amina Mungu amponye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Relax, hofu ni adui mkubwa wa maisha ya mwanadamu, na always huwa tunahofu tusichokijua, that's why hofu ni sehemu ya ujinga wetu, Mungu atusaidie.

Hatupaswi KUOGOPA.
Amechoka.
Yupo vizuri.
Amejiweka karantini anajisikilizia.
Binafsi mimi usiku huu ni mbaya sana kwangu.
Najuta kwenda instagram kuangalia hayo mavideo ya maziko ya corona.
Zimeniumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani huu ugonjwa unatia hofu sana,ya taka moyo ,kikubwa tunapaswa kujiandaa huku tukichukua tahadhari za kila aina na kumuomba Mungu atusaidie

Kabla ya ujio wa ARVs watu walikuwa wanatumia sana mlonge ili kupandisha kinga za miwili zao katika kuweza kupambambana na virusi vya Ukimwi,hebu tuendelelee kutumia huu mlonge wapendwa no matter una khali gani

Unapokuwa vitani na adui anaonekana kukutisha sana wewe tumia siraha yoyote ilimradi umshinde

Pole sana ndugu @ushmen,Amini utapona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…