Naomba niungane nanyi!

Naomba niungane nanyi!

Ghiti Milimo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
5,157
Reaction score
7,698
Wana JF,salaam! Awali ya yote,nitakuwa sijautendea haki moyo wangu,kwa kuto washukuru! Kwani,pamoja na kuto kuwa ni "mmoja wenu",kwa muda mrefu,kwa kupitia hapa JF,nimejifunza mengi,nimeburudika,na kuhabarishwa mengi!
Kwa kujiunga nanyi,najua nitafaidika zaidi! Mwenyezi Mungu azidi kuwajaalia BUSARA na MAARIFA! Nashukuru,samahani kwa salaam ndefu!
 
wala hata ucjal we pita ndani utakuta vyakula vitamu ile mbaya ni jitihada zako za kula
 
Back
Top Bottom