Naomba nitoe Shukurani zangu kwa MOD's na JF Members! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba nitoe Shukurani zangu kwa MOD's na JF Members!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Dec 30, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Nachukua nafasi hii kutoa shukurani zangu za dhati kwa MOD's na JF Member wote kama ifuatavyo:-
  1. Mod's Nawashukuru kwajinsi mlivyoweza kuendesha mtandao wakijamii bila kuchoka na wala bila kutuchoka kutokana nawengiwetu tuliweza kutoa lugha zisizostaili na thread zenye maudhi na kwakuwa sisi hatuwezi kujua itikadi yenu ni hipi Kichama,Kiuchumi na Kidini lakini yote mliyavumilia Asanteni na kwakuzingatia kazi ya IT au Computer Sciance ningumu nainaushindani mwingi lakini hamkuteteleka kwani ukizingatia inatakiwa kila mara unaweka kinga kwenye mtandao wako nazaidi kila chema kina wapinzani!!Ongereni kwahilo, nazaidi nipale mlipokuwa na tatizo lakiufundi mlitujulisha!!Japo Mlikataa kata kuturudishia chat room kwa kisingizio chakuboresha japo hamkutwambia nini mnaboresha labda mlitaka kuweka live video chat tunangoje!!Nawashukuru sana nawatakia heri ya Mwaka mpya!!!
  2. JF Member Nawashukuru sana kwa michango yenu mizuri iliyonifanya niwena uelewa kilasiku kutokana na mjukwaa mbali mbali,Nilifurahi kila mara haikupita saa mimi bila kuwa kwenye jf nawatu wengine walinishangaa kwani nilikuta thread tamu unabaki unacheka tena kicheko changuvu chafanya watu wageuke nakuuliza kulikoni!!Nazaidi nilipokuwa baa nilitoa simu yangu nakuperuzi!Nilibaki nafuraha mda wote!Nawakati mwingine nikiwa kwangu nilibaki pekeyangu wengine wamelala lakini mimi nipo katika JF!!kama sikuridhika naenda kitandani na simu naendelea nakuperuzi JF nilipitiwa usingizi nakuta nimeconnect online pesa inaliwa lakini sikuona uchungu the way i love JF Wana Jamii wenzangu na washukuru kwa michango yenu iliyokuwa na mafundisho kwangu na uelewa mpana!Nawashukuru wote nawale nilio bahatika kukutana nao nasema tuendeleze udugu asanteni, lakini nikiacha bila kuwataja hawa nitakuwa sijawatendea haki japo niwengi nasema nawapenda wote!​
  • Preta​
  • Acid​
  • Fastlady1​
  • Mzee wa Kijiji​
  • Bujbuji​
  • Rev Masanilo​
  • Afrondez​
  • The finest​
  • Darkcity​
  • Rutashubanyuma​
  • Rose1980​
  • BHT​
  • Gaijin​
  • Boflo​
  • Nilham Rashid​
  • Ndege ya Uchumi​
  • Katerero​
  • Kaka Jambazi​
  • Paka mweusi​
  • PJ​
  • Big Mama​
  • Da Sophy​
  • Ms​
  • Dar eSalaam​
  • Kibweka​
  • Mtego wa noti​
  • Mokoyo​
  • DJ Babu​
  Nilio wasahau nikwa bahati mbaya msinifikirie vibaya wote nisawa humu JF nawatakia Heri ya mwaka mpya wenye mafanikio mema na ninawaomba samahani kwanjia moja au nyingine niliotofautiana nao!​
   
 2. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kakakiiza mi nipo na nimekusoma na kukuelewa,,, kusameheana ndio muhimu ndugu yangu,,,inshallah allah atujaalie tuwe wastahmilivu ,,, na uwe ni mwaka wa upendo na amani kwa kila mwenye mitihani na mambo mazito allah ampe wepesi inshallahh.... ahsante ......wish u a happy new year,,,,
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Asante na kwakopia!!
   
 4. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  you are welcome....
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  halafu wewe haya tu
   
 6. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haya nini tena finest..... kwanza ulipotelea waaapi???au kwa afrodenzi kakukamata nini????
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  kakakiza

  Mwaka mpya uwe wa kheri kwa sote.

  Tunashukuru kwa salam na kwa kutusamehe kwa tuliyokukosea, nawe umesamehewa :)
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Nina muda sijaja hapa jamvini kumbe ushabadili avatar? Ile ilikuwa kiboko. Otherwise mambo mazuri na asante kwa yote and stay blessed!
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Nami nawashukuru Mods kwa kutuwezesha kubrowse hii kitu bila kikwazo.
  Najua tumewaudhi kwa namn moja ama nyingine na labda kuwatengenezea mazingira magumu ya kazi yao, but wamefaulu kutupa kila aina ya support tulipohitaji.
  Namshukuru kipekee Invisible kwani mara zote nimemsumbua bila kumpa muda wa kupumua hasa suala la keys za Kaspersky kila jamaa wanapoblacklist... Pia hata ishuz za ufafanuzi wa hapa na pale kwenye masuala ya IT nimeelimika sana kwa ushauri wake. Nyie Invisibles mbarikiwe kwa kweli.

  Members wenzangu, nawashukuru na kuwapongeza kwa uvumilivu na upendo wenu kwangu. Nakumbuka niliwahi kukorofishana na baadhi yenu na tukayamaliza kupitia PM na ninashukuru kwamba mmekuwa mabingwa wa kusamehe ninapowaomba radhi ingawa sijui kama i did the same to you. But leo nasema kwamba ninawasamehe wooote walionikosea au kunikwaza na pia wooote mnaoendelea kukwazwa na uchangiaji ama ujuha wangu mniwie radhi, nitajitahidi kuwa kijana/mzee mwema next year.

  Wadada wooote nawapenda kasoro ninyi mlioolewa ama kuwekwa kiunyumba....
  NYANI NGABU yupo wapi siku hizi wakulu?
   
 10. A

  Aine JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ahsante heri ya mwaka mpya pia nawe
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Mkuu scrubbing na mapodoz!!
   
 12. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Asante kwa upendo wako ubarikiwe kwa ni mtu muhimu kwetu japo nilisahau kuweka jina lako lakini niliweka angalizo nikisahau nibahati mbaya!!Heri ya Mwaka mpya!!
   
 13. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  eeenhheee nimekumbuka na hashycool hujamuweka kakakiiza,,,
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kwani haujaangalia pm yako nipo nilikuwa arusha banaa
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kakakiiza,

  Ntakua mchoyo wa fadhila kama sintakurushuru... I pray that we all see 2011, na nakupongeza sana kwa kuwa nice pal ndani ya JF

  Pamoja sana kama Memkwa na Acid!!
   
 16. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aahaa ndio maana niliona kimya kidogo,,,, vipi hawajambo wa arusha,,, na arusha si ndio kule kwenye kilimanjaro au siko??? vipi kuna baridi???
   
 17. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mkuu poa sana, nami nawatakia mwaka mpya wenye baraka
  mwaka huu nilibanwa na kazi nakupunguza zangu kukurukakara
  Kwa sasa najifua kwa michango na mathread ya kutisha vibaraka
  Maleria sugu and co. next yr tutawachana ka karata na kuwapiga vipara
  Kwenu ma boss wa JF naomba kazi ya u mode nami nimtoe mtu kafara
  ili JF yetu na Tanzania izidi kupaa na kung'ara
   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mungu akubariki pia na tuanze mwaka mpya kwa amani.Asante sana kwa kuwapongeza mods wetu japo sometimes huwa wanazidisha ubabe lakini ndio kazi yao kama ulivyosema kuwa hatujui itikadi zao,lakini tunawashukuru na kwako napenda kukutakia heri ya mwaka mpya 2011 na ufanikiwe katika kila utakachokifanya.
   
 19. e

  ebuji Member

  #19
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 28, 2007
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  MODS naomba msaada jinsi ya kulog in kwenye mobile fone katika jamiiforums.Kila nikiingiza username , ili niende kwenye password , ile username inafutika na hivyo nashindwa kuendelea kulog in. Ka mobile fone kana mtandao lakini. Msaada tafadhari.
   
 20. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #20
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Namimi pia nakutakiamwaka mpya!!wenye heri namafanikio zaidi ya hapo ulipo kama nikukamata panya basi ukamate walio nona!!..lol!
   
Loading...