Naomba nisamehe!!!!!!!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Ni maneno mawili ambayo mara nyingi hutolewa na mtu anapokosea,
Tuzungumzie kwenye mapenzi
Unapokuta labda gf/bf/mume/mke wako anafanya kosa akakuomba msamaha unaweza kujisikia amani kwa kuwa mkosaji amekiri na kutambua kosa lake, hapo unaweza kumsamehe kwa moyo mweupe kabisa.

Lakini inakuwaje ukiwa na mpenzi anaeomba sana misamaha? Hapa namaanisha kila siku anakuwa anafanya makosa na kukuomba msamaha akisema harudii tena lakini hazijapita siku mbili kosa lingine, ukimweleza o sweety nisamehe sitarudia, unamsamehe, siku kadhaa tena kafanya kosa tena anaomba msamaha,

swali, hawa watu wanaokuwa warahisi wa kutenda makosa na kuomba misamaha kila siku wanafanya makusudi wakijua watasamehewa au?
 
samehe mara 7sabini,.....utabarikiwa hadi uchanyikiwe
 
so unaeza kuishi bila kukosea?jibu samehe tu maana makosa tunafanya sometimes bila kukusudia
 
mhh daily nisamehe kwa kosa lilelile?
iyo dharau..na anakuwa amaanish samahan zake cz anajua akiitamka tu sweetie nisamehe we unajibu ahh poa yamekwsha....MTU AKISEMA SAMAHAN INAMAANA STARUDIA KOSA ILO..
UYO WA SAMAHAN THEN KESHO TENA KARUDIA TENA NA TENA ...mhh kaa nae akueleze kwwa mapana ugumu wa kuacha io tabia...lazima kuna sababu la sivyo asingekubali kuendelea kukuuzi kwa kosa moja dail..pole
 
inategemea ni kosa gani kweli sio kila siku unamkuta na beki tatu sijui bed unafogive tu
 
Ni maneno mawili ambayo mara nyingi hutolewa na mtu anapokosea,
Tuzungumzie kwenye mapenzi
Unapokuta labda gf/bf/mume/mke wako anafanya kosa akakuomba msamaha unaweza kujisikia amani kwa kuwa mkosaji amekiri na kutambua kosa lake, hapo unaweza kumsamehe kwa moyo mweupe kabisa.

Lakini inakuwaje ukiwa na mpenzi anaeomba sana misamaha? Hapa namaanisha kila siku anakuwa anafanya makosa na kukuomba msamaha akisema harudii tena lakini hazijapita siku mbili kosa lingine, ukimweleza o sweety nisamehe sitarudia, unamsamehe, siku kadhaa tena kafanya kosa tena anaomba msamaha,

swali, hawa watu wanaokuwa warahisi wa kutenda makosa na kuomba misamaha kila siku wanafanya makusudi wakijua watasamehewa au?

Inategemea na kosa lenyewe kama kila siku the same misttake na anaomba msamaha hapo lazima ujiulize kuna nini hapo au huwa hamaanishi msamaha anaouomba
 
so unaeza kuishi bila kukosea?jibu samehe tu maana makosa tunafanya sometimes bila kukusudia

HAPANA.MTU AWEZ KUISH BILA KUKOSEA....lakin kukosea ni mara moja kurudia kosa tangu januar mosi mpaka desemba 30 KOSA NI LILE LILE .. UTAITAJE?ni dharau...kose aleo ili kesho lile bt daily kosa moja mhh apana..apo kuna kingne zaidi ya kosa..uenda anafanya ivo ili akufukuze tu..akufukuzae akwambii toka so anakosea/anafanya lile linalokuudhi makusud ili uweze kusoma situation na ikiwezekana usepe..MTU ANAYEKUPENDA/KUJALI AWE RAFIKI AU MPZ AU ATA NDUGU ukimwambia iyo mbaya acha/ilo kosa usirudie tena NI LAZIMA ATATII ..HATARUDIA TENA..LAKIN KUKOSEA KOSA MOJA DAILY NI MAKUSUD NA NATAKA AFIKISHE UJUMBE FLAN NA KM UNA AKIL NZUR UTAGUNDUA TU NA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI ACCORDNGLY
 
inategemea ni kosa gani kweli sio kila siku unamkuta na beki tatu sijui bed unafogive tu

apochacha..daily kosa ilo ..asi umeambiwa samehe2..ahh apana kurudia kosa apa ni kosa la jinai..
 
HAPANA.MTU AWEZ KUISH BILA KUKOSEA....lakin kukosea ni mara moja kurudia kosa tangu januar mosi mpaka desemba 30 KOSA NI LILE LILE .. UTAITAJE?ni dharau...kose aleo ili kesho lile bt daily kosa moja mhh apana..apo kuna kingne zaidi ya kosa..uenda anafanya ivo ili akufukuze tu..akufukuzae akwambii toka so anakosea/anafanya lile linalokuudhi makusud ili uweze kusoma situation na ikiwezekana usepe..MTU ANAYEKUPENDA/KUJALI AWE RAFIKI AU MPZ AU ATA NDUGU ukimwambia iyo mbaya acha/ilo kosa usirudie tena NI LAZIMA ATATII ..HATARUDIA TENA..LAKIN KUKOSEA KOSA MOJA DAILY NI MAKUSUD NA NATAKA AFIKISHE UJUMBE FLAN NA KM UNA AKIL NZUR UTAGUNDUA TU NA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI ACCORDNGLY

Rose ungekuwa karibu ningekupa moja ya kiss ambayo hujawahi pata
Hapa umesema na kama mtu anarudia kosa lile lile toka januari mpaka desemba na anaomba msamaha hapo hata wewe unachoka unaona kabis akuwa huyu anadharau
 
HAPANA.MTU AWEZ KUISH BILA KUKOSEA....lakin kukosea ni mara moja kurudia kosa tangu januar mosi mpaka desemba 30 KOSA NI LILE LILE .. UTAITAJE?ni dharau...kose aleo ili kesho lile bt daily kosa moja mhh apana..apo kuna kingne zaidi ya kosa..uenda anafanya ivo ili akufukuze tu..akufukuzae akwambii toka so anakosea/anafanya lile linalokuudhi makusud ili uweze kusoma situation na ikiwezekana usepe..MTU ANAYEKUPENDA/KUJALI AWE RAFIKI AU MPZ AU ATA NDUGU ukimwambia iyo mbaya acha/ilo kosa usirudie tena NI LAZIMA ATATII ..HATARUDIA TENA..LAKIN KUKOSEA KOSA MOJA DAILY NI MAKUSUD NA NATAKA AFIKISHE UJUMBE FLAN NA KM UNA AKIL NZUR UTAGUNDUA TU NA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI ACCORDNGLY
<br />
<br />
wah wah wah wah wah wah!!! Unamwambia kabisa sitaki urudi umechelewa nyumbani, o naomba nisamehe sitarudia, kesho kachelewa, akikuona tu cha kwanza anapiga magoti, unasamehe, siku inayofuata kachelewa zaidi, akirudi tu nisamehe tena wakati mwingine kabla hata hujasema chochote, mhh!!!!
 
Back
Top Bottom