Naomba nisaidiwe Audio to word convertor app

Naomba nisaidiwe Audio to word convertor app

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wadau naomba nipatiwe msaada wa kupata hiyo app ya kukonvert saved audio kwenda word au pdf natanguliza shukran
 
Ipo ambayo unarecord and play kwa wakati huo huo tu
 
Jukwaa hili nalikubali kwa misaada mingi, vp leo?
 
hio mada nilishaiona humu jukwaani ila nachokumbuka walisema ipo setting unaiweka kwenye PC ww unasoma hio ina type
 
Back
Top Bottom