oscar mwankina
Senior Member
- Feb 10, 2013
- 187
- 118
Mara kadha vijana kupata wenza imekuwa ni changamoto sana,wengi wameumizwa,wengine waliachiwa kulea watoto na wengine hawakufikia ndoto zao. Nachukua nafasi hii kualika marafiki 10 tu kuhudhuria harusi yangu hapa Dar. Tar utapewa kupitia PM.