Naomba ndoa kwa mamndeny

Usijali huyu kijana lazima arudishe gharama za kesi
Na atakimbia hii kesi.

kazi inapokuwa ngumu ni pale mwanasheria ni mthungu,
hapa inabidi my son Erickb52 awe mkalimani wangu,
na mwisho wa kesi Arushaone lazima arudishe hela za gharama.
 
Njoo tusemezane basi bi migombani? We uwe wangu me tu nami niwe wako tu. Huyo rutta hana jipya.. Niambie unataka nikupeleke wapi weekend hii mpenzi?
 
Mteja wangu atakuwa busy tukiandaa ushahidi kuhusu wewe kuingilia uhuru wake bila kukomo hata baada ya kupewa onyo.

Don't consider ignorance of law as your defence.
Njoo tusemezane basi bi migombani? We uwe wangu me tu nami niwe wako tu. Huyo rutta hana jipya.. Niambie unataka nikupeleke wapi weekend hii mpenzi?
 
Naomba unisikize me mtoto wa mwanamke mwenzio. Nataka ndoa kwako mama wa kijijini/ wa mgombani. Naomba mashemeji mjitokeze ma aunt na wakwe, niko tayari. Ahsante kwa uelewa wako.
embu nikumbushe mahali dolla ngapi vile?
 
embu nikumbushe mahali dolla ngapi vile?

kuna mahali pameandikwa humuhumu tena katika chit chat hii kuwa uknywa vodka utaongea kama mrusi. Sasa mwenzangu hapo umeuliza swali lililotokana na exchange rate ya $ but why?
 
Sasa baraza lote mnanishaurije kuhusu mpenzi wangu mtarajiwa mamndenyi? Nimteme nini.
 
Nakushauri ulejee maneno aliyo kwambia mteja wangu mwanzo.
Me nafanya kazi yangu.

Nikosa kumtangaza mtu ni mtarajiwa wako wakati hakuna makubaliano yeyote.

I should consider this as hummiliation to ma client and i know what to do!
Sasa baraza lote mnanishaurije kuhusu mpenzi wangu mtarajiwa mamndenyi? Nimteme nini.
 
Fanya hivyo basi mamndenyi... Si unaona mpaka muda huu sijapata hata lepe la usingizi kukuwaza wewe? Please be reasonable darling. Fanya kabla rutta hajaamka.
 
You should consult Doctors
My client is not responsible for taking care sick people!

Fanya hivyo basi mamndenyi... Si unaona mpaka muda huu sijapata hata lepe la usingizi kukuwaza wewe? Please be reasonable darling. Fanya kabla rutta hajaamka.
 
You have psychological problem.

Your words in this thread is my primary evidence.

Milembe hospital is where you can get treated!

u have to prove that i am sick and which kind of sicness i am suffering. Which dr examined me & which hospital. Plse prove.
 
I told you your words is ma primary evidence and i have secondary evidence you wil see during healing.

Court is the only place where my evidence can be understood well!

please prove that i have kichaa.
 
njikukundie mamndenyi te njiwesa unjikundie na iyo pfo? Lakana na msoro cho nyekekulemba tiki.

kutumia lugha ya kienyeji hakuta kusaidia! Bali unaendelea kunipa ushahidi mwingine kwamba unaumwa!
 
Back
Top Bottom