Naomba ndoa kwa mamndeny

Nafanya kazi niliyo pewa na mteja wangu!
Na kushauri ujipange kujibu mashitaka kwani mteja wangu ana sema hatambui unayo yasema na hivyo unavyo fanya ni makosa kisheria na una chakujibu mahakamani.

sasa me nashangaa mnaanza kufanya biznez zenu hapa halafu nina wivu tani moja na nusu...
 
Hujakosea kabisa! Na mapenzi ya zamani yaliitwa mapenzi ya Liganga (kule tunakochimba mkaa wa mawe)

Achen mambo yenu hapa sa unarembaaa unasumbia watu afu mwisho wa siku unakubali ili iweje kufanya yote haya though ulitumia muda kidogo kuniconvice usimtie ujinga mwenzio na ndo wajipalia makaa hapo mtu mwenyewe upoupo afu waropoka tuu shauri ako judgement mkewe mim haya wewe nan?
 
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ni mh. Ruttashobolwa na katibu ni mh. Kongosho naomba wachague wanakamati wengine.
 
Judgement,hili leo unalo!
 
Last edited by a moderator:
Yan unazidi kumchafua mteja wangu!
Umesahau ndoa ni mkataba wa watu wawili?
Hivi kwa nini unamsumbua mteja wangu?

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ni mh. Ruttashobolwa na katibu ni mh. Kongosho naomba wachague wanakamati wengine.
 
1. Jamani PPRA niko hapa taratibu zifwatwe posa ipitie hapa ili nijiridhishe kama kabati la mbehoo lipo na mburu wa maruwa
2. hakuna kuonja kwanza
3. Posa haitarudishwa
vigezo na masharti vizingatiwe
 
Back
Top Bottom