Naomba mwongozo juu ya biashara ya kukopesha wajasiriamali inayoitwa kausha damu

Blue-ish

Member
Aug 26, 2022
63
120
Habari zenu wakuu,

Nilikuwa naomba mwongozo juu ya biashara ya kukopesha wajasiriamali wadogodogo kiwango cha fedha fulani.
 
USITHUBUTU.

Fuata utaratibu, Peleka sera zako za uendeshaji wa hiyo Credit office yako BOT na Ufuate taratibu zote.

Utakutana na wajanja watakopa na hawalipi na wanakuburuza mahakamani na wanashinda si huna vibali.
 
Muongozo kwenye engo ipi??

Kiasi cha kutoa mkopo

Kuchagua aina ya wateja

Vigezo na masharti

Namna ya kufatilia watakaoshindwa kulipa kwa wakati

Au uchaguzi wa riba

Then una vibali au unafanya kimagendo??
 
vyote kwa ujumla
 
USITHUBUTU.

Fuata utaratibu, Peleka sera zako za uendeshaji wa hiyo Credit office yako BOT na Ufuate taratibu zote.

Utakutana na wajanja watakopa na hawalipi na wanakuburuza mahakamani na wanashinda si huna vibali.
Wanakopa, ukiwadai sana wanakuuwa au wanakuloga.
 
Back
Top Bottom