Naomba mwenye kufahamu kiwango cha mshahara kwa walimu cheti anijuze tafadhari

Huyu ni mfano wa walimu wasiofundisha madarasani, na utegemea pesa za tuition nandizo wanazotumia kila siku huku mishahara imekaa benki inazaliana.

Ila kwa swali lako lazima upo unalenga kuona watu majibu yao yatakuwaje na sio unahitaji jibu la swali. ABC benki gani hiyo? Kwani mwalimu anakosa hata namba ya simu ya wenzake kuuliza? Mmmmhh
 
Wa bongo mna maneno kweli mnajua kilakitu ni kanjanja tu, wenzenu wa nigeria na kenya wana maneno machache mengi wameelekeza kwenye kutafutia hela yaani utapeli na wanawatapeli sana watanzania wenye maneno mengi lol ,hihihihi!
 
Binafsi nawajua walimu wa Primary yaan wako Shallow kchz ,,huyu ni kweli hajui kuisoma Salary Slip yake ngoja nimwelekeze.

Figure ya juu kulia kwako ktk Salary Slip ndiyo basic salary zinazofuatia pale chini ni figure zngne kama bima ya afya ,CWT na Kodi na figure ya mwisho kabisa ndio AMOUNT DUE yaan Net Pay au Take home nadhani ni Tsh 275000 kama umeanza kazi mwaka juzi ,jana au mwaka huu

Mie najua mishahara ya wafanyakazi wote wanaolipwa na Halmashauri yaan D.E.D kwan nafanya kazi ktk kampuni ya kubwa ya utoaji mikopo kwa wafanyakaźi ,

sishangai kukutana na Uzi huu ,ni kawaida sana
 
Ulipataje ualimu kabla ya kujaza mkataba. Mkataba wako ungekuonesha basic yako. Je una muda gan kazini? Umeendaje benki pasipo kujua basic yako. Huwez kusema unaamuka na kwenda benki bila hata barua ya udhibitisho ya mwajiri wako? We UMEKUJA HAPA KUJUA MSHAHARA WA MWALIMU
 
Mwalimu wa degree Ana take home tsh ngapi at first appointment?
 
Binafsi nawajua walimu wa Primary yaan wako Shallow kchz ,,huyu ni kweli hajui kuisoma Salary Slip yake ngoja nimwelekeze.

Figure ya juu kulia kwako ktk Salary Slip ndiyo basic salary zinazofuatia pale chini ni figure zngne kama bima ya afya ,CWT na Kodi na figure ya mwisho kabisa ndio AMOUNT DUE yaan Net Pay au Take home nadhani ni Tsh 275000 kama umeanza kazi mwaka juzi ,jana au mwaka huu

Mie najua mishahara ya wafanyakazi wote wanaolipwa na Halmashauri yaan D.E.D kwan nafanya kazi ktk kampuni ya kubwa ya utoaji mikopo kwa wafanyakaźi ,

sishangai kukutana na Uzi huu ,ni kawaida sana

mkuu umenichekesha sana yaani hawa jamaaa hawajui kitu kabisa mkuu NA wengi wao ni wavivu sana mmoja nilimuliza halijui jina la Waziri Wa elimu!!!!!!
 
Ulipataje ualimu kabla ya kujaza mkataba. Mkataba wako ungekuonesha basic yako. Je una muda gan kazini? Umeendaje benki pasipo kujua basic yako. Huwez kusema unaamuka na kwenda benki bila hata barua ya udhibitisho ya mwajiri wako? We UMEKUJA HAPA KUJUA MSHAHARA WA MWALIMU

mkuu hajui mimi nakwambia believe me!!!"!
 
wadau mm ni mwalim ngaz ya sec. huyu jamaa ni zuzu kabisa, tena ni ----- nazi! walimu tunajali na kujua kwa kina mambo yetu ya msingi kama maslahi. nashangaa huyu jamaa katokea wapi. ok, inawezekana mpenz wake kamuona hazimtosh ndo maana kaamua kumficha ili abaki na bakuli lake ubongon. kajipange ----- ww
 
We huoni tatizo? Kuna watu wanajifunza spelling humu wanaweza copy hilo kosa. Umeelewa we weak?

he umekuja kujifunzia spelling humu? Pole yko huna tofauti na huyu anaeuliza mshahara wake kama vp andamana basi maana unatoka povu kwa kitu kidogo sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom