Msaada: Namna ya kurekebisha jina kwenye cheti cha kuzaliwa na taarifa za NIDA

Annie john

Member
Oct 2, 2021
38
31
Naomben msaada wa namna ya kurekebisha jina kwenye cheti na taarifa za nida. Cheti chang cha kuzaliwa kimeandikwa Anastazia.

With single " n" na nida pia nilifatilia kutumia taarifa za cheti cha kuzaliwa. Sasa shida imejitokeza. Pindi wazaz walipo niandikisha shule waliniandikisha kwa jina la Annastazia with double "nn".

Sasa napata wasiwasi pale itakapo hitajika kutumia taarifa za kwenye cheti cha kuzaliwa na vyet vya shule na kuonekana kua na utofauti.

Naomba msaada kwa anaejua process za kufuata ilikuweka taarifa zote kua sawa.
 
Back
Top Bottom