Mijadala Migumu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 397
- 454
Habari zenu ndugu zangu, Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S anisaidie ndugu zangu.
Nina miaka 29
Nina mafunzo ya JKT - Miaka miwili (volunteer).
Uwezo wa kutumia silaha.
Elimu - Shahada ya kwanza
Nazungumza Kingereza fasaha.
Uzoefu wa kazi - Mwaka mmoja.
Naweza kufanya kazi shift yoyote na mahala popote ndani ya Tanzania.
Kwa sasa napatikana Dar es salaam ndugu zangu, kwa mwenye uwezo wa kunishika mkono naomba anisaidie waungwana.