Naomba msaada wenu wakuu na wataalam wa simu

Naomba msaada wenu wakuu na wataalam wa simu

Joined
May 8, 2012
Posts
29
Reaction score
4
Naomba msaada wenu Wakuu na Wataalam wa Simu za mkononi. Camera ya nyuma ya simu yangu Tecno P3 haifanyi kazi (haionyeshi hata kidogo) isipokuwa camera ya mbele tu ndio inayofanya kazi. Naomba mnisaidie Wakuu na Wataalam. Natanguliza Shukrani Za Dhati Kwa Msaada Wenu. Ahsante sana!
 
Acha ubaghiri nenda kwa fundi. Sasa unataka uwe fundi simu na wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom