Unajua Gentamycine...HIVI Kinachokushinda kuangalia content...ukamsaidia Kama Unaweza..unaanza kutoa vikasoro kwenye bandiko...kilikushinda Nini kupika kimya kimya..Kabla hatujakujibu na Sisi pia tunakuomba Msaada wa haya maneno yako ya 'Msahada' na 'nilidownload' je, ni maneno ya Kiswahili na yako sahihi?
Alafu eti Lidoctor...Doctor gani JINGA NAMNA HII...Yaani jitu zima linaangalia vitu visivyo namaana.....Kuna vitu Sio material..unapotezea.Punguwani wewe. Mwenzio anauliza kitu cha msingi wewe unaleta upumbavu.
Hela yenyewe tu Mimi kama GENTAMYCINE sina na naganga tu Njaa na huu Umasikini wangu 'ulionitukuka' je, hiyo ya kuweka NMB nitapata kweli?Hayapo sahihi mkuu! Samahani kwa hili... Nisaidie tafadhali.
Jamaa huwa anajikuta sana,yaani anajiona mjuvi wa kila kitu,harafu huwa najaribu kuwaza umri wake namchukulia kama Dada wa miaka 17 ,kwa sababu unaweza kuta mtu kauliza hoja ya màana harafu analeta ujuaji wake wa nanjilinji,Unajua Gentamycine...HIVI Kinachokushinda kuangalia content...ukamsaidia Kama Unaweza..unaanza kutoa vikasoro kwenye bandiko...kilikushinda Nini kupika kimya kimya..
Ndio nyie hata Jambo liwe zuri Vipi...mtakomaaa na kakosa kadogo na kuacha lile Jambo la msingi..
UPOPOMA wako Ni wakiwango Cha juu Sana.
Inanekana una Hasira sana na Mimi hapa JF na ukizipata nafasi kama hizi huwa unapenda Kuzitumia. Hivi 'Kumkosoa' Mtu tu ni Kosa Wewe Juha?Unajua Gentamycine...HIVI Kinachokushinda kuangalia content...ukamsaidia Kama Unaweza..unaanza kutoa vikasoro kwenye bandiko...kilikushinda Nini kupika kimya kimya..
Ndio nyie hata Jambo liwe zuri Vipi...mtakomaaa na kakosa kadogo na kuacha lile Jambo la msingi..
UPOPOMA wako Ni wakiwango Cha juu Sana.
Unaweza kufungua account kwa kutumia app ya benki? Sijawahi kusikia hili jambo. Account ya benki siyo lazima uende benki na vitambulisho upewe na account number? Kuna uwezekano jamaa fedha zake zimepigwa na matapeliMkuu nakushauri kitu kimoja nenda tawi la nmb lililo karibu nawe wakuthibitishie Kama hio app ni yao au ni scammer wakisema yao Basi pesa yako iko salama maana utakuwa na authority ya kuwashtaki Ila Kama sio yao imekula kwako
Nenda bank.ndo msaada ulipo na uwaonyeshe app ulotumiaNdio mkuu.
Kama ulitumia NMB MKONONI APPKama unaitaj account number mbona ni simple tu kwenye app
Skuizi inawezekana ila ataitaj kwenda benk akipata mda kuboresha taarifa zakeUnaweza kufungua account kwa kutumia app ya benki? Sijawahi kusikia hili jambo. Account ya benki siyo lazima uende benki na vitambulisho upewe na account number? Kuna uwezekano jamaa fedha zake zimepigwa na matapeli
Sina hasira na wewe...nashangaa NI MTU WA AINA GANI...hivi mtu akileta bandiko anahitaji msaada..na Umeelewa alichouliza..kusahihisha Kama kaweka R badala ya L...ndo lengo la bandiko..umesoma bandiko kusaidia au kukosoa Uandishi?..Inanekana una Hasira sana na Mimi hapa JF na ukizipata nafasi kama hizi huwa unapenda Kuzitumia. Hivi 'Kumkosoa' Mtu tu ni Kosa Wewe Juha?
Inanekana?
Skill ninayokosa labda ni ya 'Kukubandua' tu vizuri.Sina hasira na wewe...nashangaa NI MTU WA AINA GANI...hivi mtu akileta bandiko anahitaji msaada..na Umeelewa alichouliza..kusahihisha Kama kaweka R badala ya L...ndo lengo la bandiko..umesoma bandiko kusaidia au kukosoa Uandishi?..
Ifike mahala ujue wapi kukosoa Kuna tija na wapi msaada unahitajika..?
Unaonekana Kuna skills unalack Kama mtu mzima.
Hilo unaweza jifunza...Kwa kumpata aliekuzidi experience.Skill ninayokosa labda ni ya 'Kukubandua' tu vizuri.