Naomba msaada wenu tafadhali.

Naomba msaada wenu tafadhali.

Duh we jamaa Unaoa wote wawili kwa mkupuo??

Au umewaweka stand by ili kusubiri utajiwe tabia zao/??

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
^^
Wote ni wanawake
Wote wameumbwa
Wote hawakuchagua kuzaliwa walipozaliwa, ilitokea tu
Wote hawalingani
Wote wana upendo na huchukia kama binadamu wengine.
^^
 
hakuna msichana wa kigogo na kipare..
 
Back
Top Bottom