Naomba Msaada Wenu Kupata Picha Za Wastaafu- Jumuiya Ya EA!

Tanzania 1

Senior Member
Oct 4, 2007
197
24
Wakuu,

Nakuombeni mnitumie picha za wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afr. Mashariki. Naomba zile zinazoonesha umati wa wastaafu hao, na zinazoonesha mmoja mmoja -- hasa wale wanaoonekana wamekula chumvi nyingi mno.

Nakuombeni pia taarifa na habari zinazowahusu wastaafu hao.

Nakuombeni mnitumie hayo kwa PM.

Haya ni ktk kutafuta njia ya kuwasaidia wazee hawa kwa kile kinachowezekana -- hata hivyo, ni mapema mno kuitaja.

Ahsanteni!
 
Baadhi ya picha hizo zipo hapa, ukisearch kwa kutumia "wastaafu wa Afrika mashariki" unaweza kuzipata.
 
Back
Top Bottom