Naomba msaada wataalamu

Naomba msaada wataalamu

Pia waweza kuona kidhibiti halisi cha matumizi ya RAM kulingana na toleo la windows hapa: Memory Limits for Windows and Windows Server Releases (Windows)

hardware reserved wamemaanisha gpu sio?

nafkiri hio issue inategemea na design ya oem. mimi pc yangu ina dedicated vram, hivyo almost ram yangu yote ninayo na kwenye bios sina option ya ku adjust

nyengine ram nyingi inachukuliwa na gpu lakini inakuwa na option ya ya ku adjust kwenye bios.

nyengine zinakuwa shared, ram inatumika kote kote.

jaribu kucheki bios kwenye pc yako unaweza ukakuta sehemu ya ku adjust.

pia siku hizi ram si ghali 20,000 tu zipo za 2gb na siku zote unaekewa slot mbili kwenye laptop moja wanaeka wenyewe na moja unaachiwa wewe ya ku upgrade.
 
Yeah, especially pc ambazo zinatumia graphics card za intel, kama hili li lenovo langu pia halina option kwenye bios

Pia nikitumia windows 8 pro napata 3.4 usable, ila windows 10 ambayo imenibamba ndio inakua 2.4

Nafikiria kununua RAM pia, ila huwa sikai sana na hizi laptops so.... Napotezea some games tu kwa sasa...

Pamoja sana Chief.
 
mkuu ukiuza laptop si unachomoa na ram yako? then ukinunua mpya unaichomeka tena
 
ushauri wangu eka tu windows ya 64bit
1. kama umeangalia hapo ni 3.41gb tu ya ram ndio unaweza itumia almost mb600 huwezi zitumia sababu windows ya 32bit haiwezi kutumia ram hadi 4gb au kupanda ukienda 64bit utatumia ram vizuri zaidi.
2.minimum requirements ya gta v ni 4gb lakini gpu yako inashare vram na ram ya kawaida hivyo tegemea game kuwa slow sababu gpu ikichukua 1.6gb utabakiwa na kama 1.8gb ya kurun mambo mengine. ni vyema ukaongeza ram hata 2gb iende 6gb ili kuenjoy games na pia ukiwa na ram slot zote mbili utaiongeza nguvu ya pc sababu processor za sasa zina dual chanell zinatumia ram mbili kwa mpigo.

pia kumbuka kutoa windows ya 32bit kueka 64bit itabidi ufanye clean installation hivyo utapoteza data zote
Chief naomba unisaidie kupata cd key actvtor ya gta v, game nisha install bt inahitaji key kuactvat... mm nina set up tu, nptje key??
 
software za kisasa huwezi kuzicrack kirahisi hivyo na key.

umedownload wapi? setup ilichukua muda gani kuinstall? setup ina gb ngapi?
 
Ina gb 65, imechukua sku nzima ku install...
mimi nnayo moja haichezi mpaka uset tarehe april 2015 ni repack (repack zinachukua muda sana kuinstall) test na wewe pengine itakubali.

eka tarehe 15 april 2015 tarehe ya computer halafu fungua game.
 
Nimejarb imenigomea.. lbda nijarbu tna
 
Nimejarb imenigomea.. lbda nijarbu tna
cheki kwenye setup kutakuwa tu na namna ya kuicrack, hakuna folder limeandikwa crack?

na hapo ulipoinstall game unafungua game kutumia file gani? hakuna file limeandikwa 3DM? rangi kama njano au orange hivi
 
1478770679750.jpg
nmetumia hy GTAVLAUNCHER
 
cheki kwenye setup kutakuwa tu na namna ya kuicrack, hakuna folder limeandikwa crack?

na hapo ulipoinstall game unafungua game kutumia file gani? hakuna file limeandikwa 3DM? rangi kama njano au orange hivi
1478770934954.jpg
1478770970958.jpg
jlo hpo folder la crack.... so nafnyaje hpo
 
mimi nnayo moja haichezi mpaka uset tarehe april 2015 ni repack (repack zinachukua muda sana kuinstall) test na wewe pengine itakubali.

eka tarehe 15 april 2015 tarehe ya computer halafu fungua game.
1478771691185.jpg
nikibadili muda wananipa ujumbe huu...
 
jaribu copy vitu vyote vya crack paste hapo halafu urun tena launcher, pia angalia kama kuna 3dm nyengine ya kulaunch
1478781686329.jpg
1478781699410.jpg
nmegny hvy, ina run stry inapotka kuanza inakata inadai key.... natumia win 10, je haiwez ikawa n tatzo??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom