Asante CHIEF, ila kwa kuwa tunajifunza naomba kushiriki kama ifuatavyo, kwanza naweka screenshots za PC yangu:
Hapa natumia Ubuntu 16.04 64-bit inaonyesha RAM 3.8 GB sawa na 3891 MB , wakati 4 GB ni sawa na 4096 MB kuna kama 200+ MB zimepungua hapo.
View attachment 347195
hii ni picha ni properties ya computer hiyo hiyo ikiwa na windows 10, 32 bit, katika 4 GB yenyewe inatumia 2.44 tu, dah:
View attachment 347196
Screen shot ta Task Manager ndio inakwambi akabisa et 1.6 GB is hardware reserved sasa si undezi huu, kwa watu kama sisi lazima itupasue kichwa, manaake inabidi nikanunue RAM nyingine? hapana...
View attachment 347199
Kulingana na Microsoft anasema Limit RAM kwa windows 10 32 - bit home edition 4 GB, chini ya hapo, ni hujuma ya hardware!!!!!.... na hii tabia ya Windows kuonyesha Installed RAM kiasi Fulani halafu Usable kiasi Fulani haijalishi kama Edition ni 32-bit au 64-bit, wapo watu wana 64-bit version na ana RAM 8 GB, lakini anaambiwa usable ni 2.7 GB, lazima ung'ake....
View attachment 347203
Sasa kuna mbinu za kufanya ukiona umedhulumiwa RAM na hardware, na Microsoft mwenyewe anabainisha baadhi ya mbinu hizo hapa:
https://support.microsoft.com/en-us/kb/978610
Mbinu nyingine hii hapa chini, ila kuwa makini!...
1. Run "Regedit" (Type in "Regedit" in search after clicking Windows Key)
2. Navigate to HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlDSet\Control\Session Manager\Memory Management
3. Find "ClearPageFileAtShutdown" and Double Click
4. Type in 1 and Press Enter
5. Double Click "ClearPageFileAtShutdown", Type in 2 and Press Enter
6. Double Click "ClearPageFileAtShutdown", Type in 0 and Press Enter
7. "Shutdown" Computer (Do not Restart as this does not work)
8. Power up computer and you should have Full use of of the computers RAM