Naomba msaada wataalam

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
346
Nilipokuwa na fomati computer ni fomati na flash aina cruzer blade 2gb,sasa ime collapse nifanyeje iliiweze fanya kazi?
 
samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
346
embu eleza vizuri mkuu...umefanya nini?? maelezo yako yamekaa kushoto mno!!
mkuu,nikwamba,nilikuwa nafomati copyuter nikasahau frash reader ikiwa kwanye copyuter nayo ikawa fomated, sasa niki iwekakwenye copyuter inaniambia please insert a disk drive E,Je inaweza rekebishika au ndio yakutupa????
 
Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,873
642

Try to format it in another pc and then put it again in your pc
 
samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
346
osaba nimejaribu imeleta messege "window was uneble to ncomplete the format"
 
Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,873
642
osaba nimejaribu imeleta messege "window was uneble to ncomplete the format"
try this open cmd prompt in start ikitokea black screen andika format ikifuatia naherufi ya flash yako kama ni drive e andika e: press enter itaanza kuformat ,itakuuliza y o n just choose y and then itakuwa iko format.
 
Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,312
2,616
try this open cmd prompt in start ikitokea black screen andika format ikifuatia naherufi ya flash yako kama ni drive e andika e: press enter itaanza kuformat ,itakuuliza y o n just choose y and then itakuwa iko format.

mkuu tundika topic inayo elezea matumizi ya cmd prompt. Hii kitu naona inafanya nyingi sana zile za nyuma ya pazia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom