Natafuta ajira nimesoma Sociology

Natafuta ajira nimesoma Sociology

Pretty P

Senior Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
131
Reaction score
33
Mimi ni Mtanzania, jinsia ke, nimehitimu chuo kikuu mwaka 2016 fani ya elimu ya jamii (Bachelor of Arts in Sociology).

Nina tafuta ajira kulingana na fani yangu, nina uzoefu wa data collection, kufanya kazi na jamii mbali mbali, kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa, nina ujuzi wa matumizi ya Computer, kutumia kishikwambi kukusanya taarifa, kutoa elimu katika jamii.

Napatikana mkoa wa Kilimanjaro kwa sasa
Naomba kuwasilisha
🙏🏻
 
Tazama trend ya ajira kwa kozi tofauti.
Sio sababu, kozi zote za social science level ya d3gree inaonekanaga kama ina mziki mnene mana nafasi ni chache. Ila unaona kama masters ziko nyingi! Ingia ndo utaona mauza uza kuna msanii mpaka masters ya hiyo kozi na akapiga msamba, mpka karudi kwenye sanaa hapa tz
 
Kaamua mwenyewe, sekta ya elimu wanakosa watu wanarudia tangazo bado hawapati. Taasisi za kinataifa kila siku zinatangaza kazi.
 
Una data zinazoonesha scarcity?. Masters wstu wanasoma wakiwa kazini mkuu usimuaminishe jamaa ujinga.
 
Mimi ni Mtanzania, jinsia ke, nimehitimu chuo kikuu mwaka 2016 fani ya elimu ya jamii (Bachelor of Arts in Sociology).

Nina tafuta ajira kulingana na fani yangu, nina uzoefu wa data collection, kufanya kazi na jamii mbali mbali, kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa, nina ujuzi wa matumizi ya Computer, kutumia kishikwambi kukusanya taarifa, kutoa elimu katika jamii.

Napatikana mkoa wa Kilimanjaro kwa sasa
Naomba kuwasilisha
🙏🏻

Hongera kwa mapambano mkuu. Sina connection yoyote ya kazi ila nimechokoza tu mada kwamba kwanini tusifikirie pia alternative source of income kama biashara ndogo ndogo au may be uchuuzi wa bidhaa za kilimo n.k. Naona kama miaka imesogea kidogo. What do you think?​
 
Back
Top Bottom