Wakuu habar za weekend.Naomba kujua ni aina gani ya APP itanisaidia kucheza games.Maana nikidowload Game haionekan hata kwenye sim ila inaonekana nmeinstall tu ila sioni ilipo.
Pia naomba kujua APP gani nzuri kwa kudowload nyimbo ambazo zimezuiliwa kupakuliwa.
La mwisho naomba kujua APP gani nzuri kwa kuplay audio na video.
NB:Natumia Samsung A12,64GB.
ASANTENI WADAU.