NAOMBA MSAADA WADAU.

NAOMBA MSAADA WADAU.

ANT DRUGS

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
5,221
Reaction score
6,451
Wakuu habar za weekend.Naomba kujua ni aina gani ya APP itanisaidia kucheza games.Maana nikidowload Game haionekan hata kwenye sim ila inaonekana nmeinstall tu ila sioni ilipo.

Pia naomba kujua APP gani nzuri kwa kudowload nyimbo ambazo zimezuiliwa kupakuliwa.

La mwisho naomba kujua APP gani nzuri kwa kuplay audio na video.

NB:Natumia Samsung A12,64GB.

ASANTENI WADAU.
 
Kwa kuplay video na recomend VLC japo sidhani kama hata kutumia builtin player ni mbaya, kwa audio chaguo langu ni AIMP
 
Miaka hii unapata wap muda wa kufanya hayo?
 
Back
Top Bottom