.Kwa waislamu wanaoweza kutoa msaada wa tende ili tutoe kwa waislamu wenzetu wa wilaya ya Rufiji, kuanzia jaribu mpakani, Bungu, Kibiti, Ikwiriri, Nyamwage, Chumbe mpaka Muhoro. na huku kuelekea mpaka nyamisati na salali, mpombwe, bila kusahau mkongo, kilimani, kipo ,mwaseni mpaka Nyaminywili.
Huko hali mbaya sana.
Tunaomba msaada.
Mkuu....aisee kweli kabisa..na hiyo elimu sio madrassa kwa saaana.....siyo mnapeleka tende wakati wa Ramadhani halafu mnatokomea hadi Ramadhani nyingine.
..wananchi wa Rufiji na mikoa ya kusini kwa ujumla wanahitaji msaada mkubwa ktk masuala ELIMU.
..wasaidieni ktk kuboresha mazingira ya elimu pia.
nafikiri Tanzania kuna sera maalum za Ilmu na wengi tunachangia hilo kupitia TEA, na halmashauri...siyo mnapeleka tende wakati wa Ramadhani halafu mnatokomea hadi Ramadhani nyingine.
..wananchi wa Rufiji na mikoa ya kusini kwa ujumla wanahitaji msaada mkubwa ktk masuala ELIMU.
..wasaidieni ktk kuboresha mazingira ya elimu pia.
nafikiri Tanzania kuna sera maalum za Ilmu na wengi tunachangia hilo kupitia TEA, na halmashauri.
lakini suala la njaa halina mbadala. Ndio maana ukisoma magazeti ya leo ya huko Tanzania unaelezwa rais JK katembelea Longido kujionea hali ya Ukame.
Hakika vyote ni muhimu. kama waislam tuna wajibu mkubwa sana kuhakikisha kuwa Mwezi huu mtukufu wa ramadhani watu wote tunapata futari iwe tajiri au maskini.
Hiyo ni sera ya dini , ndio maana unaona walionacho wanatoa kwa wasionacho ili wote wafunge kwa furaha.
HM Hafif, tueleze bayana unahitaji kiasi gani? tupe data kamili.
Dr Hamza
maneno yako Kuntu. Sisi Rufiji tuna UMAKURU ( Umoja wa maendeleo ya kujitolea Rufiji) Chini ya Uenyekiti wa Col Matope, na Prof Idrisa Mtulia, Idi Simba na wengine.hawa wanashughulikia mambo yote ya Elimu na mengineyo.
Sisi wengine ni wachangiaji wakubwa wa Elimu huko. Suala la Futari ni nyeti sana hususan mwezi huu. kwani mwezi huu utokea mara moja tu katika mwaka.
mahitaji yetu ni kama katuni 100 hivi za tende za kilo 20 each. hapo tutaweza kutoa swadaka kwa misikiti mingi sana huku.
lakini Dokta Hamza kama itapatikana ziada haitakuwa mbaya tutawapa waislam wengine wa jirani kama kilwa na mkuranga.
nakupigia simu naona upokei najua labda una swali. tuwasiliane dokta
hivi kweli tende ndio kitu cha kuomba na kusisitiza kwamba huko hali ni mbaya, hivi watu wanafungia tende au, hii msg au ombi halina maana na linadhalilisha uislamu
assalamu alaykum.
Kwa waislamu wanaoweza kutoa msaada wa tende ili tutoe kwa waislamu wenzetu wa wilaya ya rufiji, kuanzia jaribu mpakani, bungu, kibiti, ikwiriri, nyamwage, chumbe mpaka muhoro. Na huku kuelekea mpaka nyamisati na salali, mpombwe, bila kusahau mkongo, kilimani, kipo ,mwaseni mpaka nyaminywili.
Huko hali mbaya sana.
Tunaomba msaada.
Assalamu alaykum.
Kwa waislamu wanaoweza kutoa msaada wa tende ili tutoe kwa waislamu wenzetu wa wilaya ya Rufiji, kuanzia jaribu mpakani, Bungu, Kibiti, Ikwiriri, Nyamwage, Chumbe mpaka Muhoro. na huku kuelekea mpaka nyamisati na salali, mpombwe, bila kusahau mkongo, kilimani, kipo ,mwaseni mpaka Nyaminywili.
Huko hali mbaya sana.
Tunaomba msaada.
Hivi lazima mgeze hata kula matunda ya kiarabu? Au ndio usilamu kusujudu uarabu?
Tanzania imejaa matunda kede kede, lakini hawa jamaa lazima waweke umanga. Sasa wanombana tende kwenye mtandao. Huko rufiji kumejaa mabibo, kule hayo.
Hii si dini ya wote bali inaonyesha kwa hali kubwa sana kuwa ni ya waarabu.
Kaazi kweli kweli
.Dokta Hamza na Mkeo na Familia yenu, napenda kutoa shukrani zangu za dhati, mzigo nimepata katuni 117 za tende aina ya hanees jioni ya leo ila tu nilikuwa sikuwa na usafiri wa kuzichukua. Namshukuru pia Sheikh Islam yeye anatoa usafiri wa kuzipeleka mpaka Ikwiriri kisha mimi nitazisambaza.
Kwa Kweli Allah atawalipa zaidi na zaidi sheikh.
Shukrani sana sana
waafrika especially wa waTz wana pombe zao za asli kama mbege, dengerua, ulaka, tembo, ulanzi, chimpumu,lubisi nk. sasa vipi kule kanisani wanapewa DIVAI ambayo ni ya kizungu.
Hii si dini ya wote bali inaonyesha kwa hali kubwa sana kuwa ni ya wazungu.
kazi kweli kweli