donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Salaam wakuu,
nilinunua hizi smart wristband model aina ya M4 ambazo ni hizi za kichina. Issue ni kufanya pairing na simu wakuu. Nimejaribu apps kama fit pro, lefun health etc. Lakini shida ipo pale pale, naomba msaada kwa wakuu ambaye ameshawahi kua na experience na hizi gadgets.
Natanguliza shukrani za dhati.
Cc: Mwl.RCT Chief-Mkwawa
Sent using Jamii Forums mobile app