Tatizo la muwasho wa ngozi

walikuyu

JF-Expert Member
Jul 27, 2018
572
1,188
Habari wakuu!

Naomba niende kwenye mada moja kwa moja, nina dada angu hapa anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa kwa ngozi alijaribu kutumia dawa aina ya Dexamethasone tabs 1X2, hydrocortisone ointment 1xz, baada ya kutumia alipata nafuu kidogo lakini badae hali ya kuwashwa iko pale pale.

Naomba msaada wa kitaalamu hapo tatizo litakuwa nini maana nimejaribu kuwaza na kuwazua lakini sina ninachojua, kwa yeyote anayejua naomba atoe ushauri najua hapa kuna wataalamu wa kila aina.
Naomba kuwasilisha.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Naomba msaada wa kitaalamu hapo tatizo litakuwa nini maana nimejaribu kuwaza na kuwazua lakini sina ninachojua, kwa yeyote anayejua naomba atoe ushauri najua hapa kuna wataalamu wa kila aina.
Naomba kuwasilisha.
Ulikua unawaza na kuwazua on behalf? Saafi sana, Sina utaalam ila nasikia hata matunda matunda, Juice fresh na mboga mboga zinasaidia kuweka ngozi fresh. Nimesema "nasikia"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom