senegro orgenes
Senior Member
- Apr 26, 2017
- 186
- 250
Nina samsang A31 minara haisomi kabisaa ila kwenye SM ina onyesha Tigo na Artel? Nikipigiwa sipatikani??..
Nisaidieni
Nisaidieni
Kama ina warranty rudisha wakupe nyingine,wife alifanya hivyo kwenye A30,Akapewa A30s.hapo unaweza kupata suluhisho..baada ya muda hali inarudi tena.bora kuibadilisha.Nina samsang A31 minara haisomi kabisaa ila kwenye SM ina onyesha Tigo na Artel? Nikipigiwa sipatikani??..
Nisaidieni
Kama ina warranty rudisha wakupe nyingine,wife alifanya hivyo kwenye A30,Akapewa A30s.hapo unaweza kupata suluhisho..baada ya muda hali inarudi tena.bora kuibadilisha.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us