Msaada: Simu yangu haisomi laini ya Airtel

Ghulaam

JF-Expert Member
May 10, 2016
1,847
1,440
Nina tatizo nahitajia usaidizi Simu yangu haisomi line ya Airtel na imetokea kukata mawasiliano ghafla tuu kwani mwanzo ilikuwa unasoma vizuri kabisa

Card slot ya simu iko sawa maana line nyingine zote zinasoma Kasoro Airtel

Wakati huohuo line hiyo ya Airtel ukiiweka kwenye simu zingine inasoma pia

Nimetumia njia zote upande wa settings lakini Airtel haisomi

Mwenye ujuzi wa hili anisaidie aina ya Simu ni Redmi Note 11 Pro Plus
 
Factory reser

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kama sim yako inatumia 2 card slots, ebu jaribu kuswap line 1 iende 2 kisha line 2 irudishe 1
 
Nina tatizo nahitajia usaidizi Simu yangu haisomi line ya Airtel na imetokea kukata mawasiliano ghafla tuu kwani mwanzo ilikuwa unasoma vizuri kabisa

Card slot ya simu iko sawa maana line nyingine zote zinasoma Kasoro Airtel

Wakati huohuo line hiyo ya Airtel ukiiweka kwenye simu zingine inasoma pia

Nimetumia njia zote upande wa settings lakini Airtel haisomi

Mwenye ujuzi wa hili anisaidie aina ya Simu ni Redmi Note 11 Pro Plus
Mkuu ukiwa na muda pitia customer care cemtre za airtel wakutatulie tatizo lako.

Hapo ni settings tu.
 
Simu Yako Ni Aina Gani
Ulinunua Kwenye Hizi Kampuni Za Simu Labda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom