Naomba msaada wa kutatua tatizo hili katika simu aina ya Samsung A31

Corluka Neven

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
300
276
Nina samsang A31 minara haisomi kabisaa ila kwenye SM ina onyesha Tigo na Artel? Nikipigiwa sipatikani??..

Nisaidieni
 
Nina samsang A31 minara haisomi kabisaa ila kwenye SM ina onyesha Tigo na Artel? Nikipigiwa sipatikani??..

Nisaidieni
Kama ina warranty rudisha wakupe nyingine,wife alifanya hivyo kwenye A30,Akapewa A30s.hapo unaweza kupata suluhisho..baada ya muda hali inarudi tena.bora kuibadilisha.
 
Back
Top Bottom