Naomba Msaada wa kuspy message za whatsapp

Naomba Msaada wa kuspy message za whatsapp

kwenye status Kuna nn mkuu?mm nataka sms ,videos na pics anazotumiwa zije kwangi


Mkuu huna kazi za kufanya? Achana na ukoloni wako fikiria mambo ya maendeleo. Chukua muda wako unaoutumia kwenye social issues, then ongeza na muda ambao utakuwa unapekua simu ya mpenzi wako, then utoe kutoka muda ambao ulipaswa ufanye shughuli za maendeleo na kupumzisha akili utabaki na muda kasi gani?
 
Kwa hiyo mkuu
Whatsapp web ikishascan ile barcode ya mtu unaetaka kumtrace inaretrieve mpaka contacts zake zote???
 
mmechoka wapenzi wenu sio ?
haya wachunguzeni muachane nao tuoe..
umechepuka mara ngapi hata mwenzako nae asichepuke ?
 
namwaga bhas
1.nenda playstore download android lost application ya kwanza tu ukidownload
2..baada ya hapo installll baada ya kuinstall icon yake kwenye simu utakuta imeandikwa personal notes utaifungua na kuactivate application ,na utarequest administrator na premium mpaka ibaki neno exit peke yake

3......watakiwa ujue huyo mpnz wako kwenye simu yako upande wa play store alifungulia email gan na pasword gan kama haujui waweza kureset phone na kusajili kwa email yako

4....baada ya hapo ingia Android Lost then sign in kwa email uliyotumia kwenye simu yako na uingze pasword baada ya hapo utaingia kwenye setting na kuanza kuchagua watakaupate nn kutoka kwenye hiyo simu waweza kuomba ikileteee sms anazotuma na kutumiwa au call list ,au kuifanya simu yake ijilock au kuipigasimu yake alarm hata kama yupo mbeya ww upo msoma

lakin taarfa itakuja kwako endapo yy yupo online yaan data ipo on na kama data ipo off ukiwa umeomba sms yy baada yakuingia online sms zitatumwa kwenye email na ww wabid uende kwenye email kusoma

du...kweli ww ni mchungaji mhuni
 
Last edited by a moderator:
Huu ni ujinga watu mmekutana ukubwani eti kumchunguza???? Mbafu.
 
Njia nyingine rahic kabisa ni kumtmbelea Mara kwa Mara na kushika cm yake na kusoma text basi
 
Ukishaona umeanza kuwa na mawazo ya kumchunguza "mpenzi" wako juwa kuwa "there is something wrong".....
 
Something wrong kwa anayechunguza au anayechunguzwa
Dadavua please
 
[How mkuu
Hebu nipe lecture mkuu
Au ndo unaiscan barcode ya muhusika kwenye simu n sio laptop?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom