Naomba Msaada wa kuspy message za whatsapp

Naomba Msaada wa kuspy message za whatsapp

Na ndio maana Uzi wangu haujauliza nataka kuachana ma mpenz wangu,nisaidieni jamani.....maana najua nimeuliza swali sehemu sahihi na wana MMU tunasaidiana
 
ukitaka kuelekezwa nipm jins ya kufanya ila mpnz wako awe na android mm kila siku nasoma sms anazochart na watu wote kila siku ingawa yy hajui
 
watu hawana uwezo kukupa hiyo kitu wanajitia wanakupa counselling.
 
Mchungaji ya ukweli Haya kweli
Maana sina imani hata kidogo na especially jina lako tu linanitia wasiwasi mkuu
 
Kama haumwamini piga chini lkn kwa dunia ya sasa utaacha Kila siku mana hakuna mtu ambaye leo hatumii mitandao
 
Useless business of all time whether you agree or not it's the worst thing a responsible person could think of and after you discover the rotten side of your mpenzi please bring the feedback otherwise pray that one remains faithful.
 
Nafanya hivi,maana nasumbuka kuishi kwa wasiwasi,nampiga chini kwa sababu zipi mkuu....natafuta evidence
 
[Kwani mkuu
Unataka kunambia unamshuku kwa sababu zipi labda
 
unamchunguza mwenzako wakati wewe mwenyewe kicheche..
unaiba utaibiwa tu.
 
Vaa miwani ya mbaoo jooh. Yaani we chukulia uko peke yako tu. Binadamu hachungiki kabisaaa hata kama ungekua unaishi nae. Kwa mtaji huu utaoa ww kweli kama sisi???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom