Naomba Msaada wa kuspy message za whatsapp

Naomba Msaada wa kuspy message za whatsapp

Cjaona bado wakunisaidia....hivi baaadhi ya watu humu jf mnafikiri kwa kutumia nn??nimeomba msaada wa "ni jinsi gani",naambulia ushauri,cyo lazima ushauri au ucomment kama hujui we sema hujui,bado nasubiri wa kunisaidia....mana nimeshasema najua impact ya hiki ninachokitaka......xo mwenye kujua anisaidie na asitake kujua nimejiandaaje nitapojua hayupo sawa
 
Cjaona bado wakunisaidia....hivi baaadhi ya watu humu jf mnafikiri kwa kutumia nn??nimeomba msaada wa "ni jinsi gani",naambulia ushauri,cyo lazima ushauri au ucomment kama hujui we sema hujui,bado nasubiri wa kunisaidia....mana nimeshasema najua impact ya hiki ninachokitaka......xo mwenye kujua anisaidie na asitake kujua nimejiandaaje nitapojua hayupo sawa

Sawa unajua impact ya unachokitaka lkn kisa cha kujipotezea muda kumchunga binadamu mwenzio ni nn? au unahisi binadamu anachungika?
 
😙😙😙😙 mapenz yanawazingua watu jaman ila kuwa bize na mambo yako utakuwa na mawazo na cm ya mkeo
 
hiyo inawezekana mkuu ila inabidi wewe na mpenz wako wote mtumie smartphone na jinsi ya kufanya step ya kwanza lazima uwe na simu yake na step zingine utafanya ukiwa mwenyewe vp vigezo hivyo unaweza kuvimudu....!!!!!!
 
namwaga bhas
1.nenda playstore download android lost application ya kwanza tu ukidownload
2..baada ya hapo installll baada ya kuinstall icon yake kwenye simu utakuta imeandikwa personal notes utaifungua na kuactivate application ,na utarequest administrator na premium mpaka ibaki neno exit peke yake

3......watakiwa ujue huyo mpnz wako kwenye simu yako upande wa play store alifungulia email gan na pasword gan kama haujui waweza kureset phone na kusajili kwa email yako

4....baada ya hapo ingia www.androidlost.com then sign in kwa email uliyotumia kwenye simu yako na uingze pasword baada ya hapo utaingia kwenye setting na kuanza kuchagua watakaupate nn kutoka kwenye hiyo simu waweza kuomba ikileteee sms anazotuma na kutumiwa au call list ,au kuifanya simu yake ijilock au kuipigasimu yake alarm hata kama yupo mbeya ww upo msoma

lakin taarfa itakuja kwako endapo yy yupo online yaan data ipo on na kama data ipo off ukiwa umeomba sms yy baada yakuingia online sms zitatumwa kwenye email na ww wabid uende kwenye email kusoma
 
Habari wakuu,
Naombeni wataalamu wa kuifanya hii huduma wanisaidi nn cha kufanya...Nipo mkoa A nataka kumspy mpenzi wangu aliyemkoa B...Nawakilisha


Watu hawaelewi umuhimu wa kumspy mwenzio ndio maana wanakuwa wanadis,kimsingi ni muhimu sana hususan kipindi hiki ambacho magonjwa yapo nje nje

Fanya hivi;

:::Nenda www.web.whatsapp.com kwa kutumia laptop

:::Ikishafunguka itatokea barcode flani ya whatsapp

:::Chukua simu ya mtu unaetaka kumspy,fungua whatsapp,right click utaona option ya whatsapp web

:::Ingia hapo kwenye whatsapp web,itatokea bar code scanner(ni kama camera) utaielekeza kwenye bar code inayoonekana kwenye laptop ulipoingia

:::Ukiielekeza pale (kama unataka kuipiga picha lakini make sure inajaa kwenye camera pale) itaload na pale kwenye laptop itakulog in kwenye whatsapp

:::Mrudishie mwenye simu yake na subiri maumivu

NB:Itafanya kazi only kama yeye yupo online
Unaweza kuchat na contacts zake ila epuka hilo asijestukia mchezo
Asiwe anaijua hii mbinu,anaweza kulog out na ukaacha kumpata tena

Kuna njia nyingine nyingi za app installation
 
Unaweza kuchat na watu wake ila kwa kutumia laptop na sio simu mkuu
Au me ndo sijakuelewa???
 
Only through his/her laptop you can chat with his /her contacts via a barcode you scanned on the same laptop
 
Nakushauri umuache tu kwa amani kama bado unatafuta ushahidi shauri zako,kwanini ujiumize
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom