Naomba Msaada wa kuspy message za whatsapp

Naomba Msaada wa kuspy message za whatsapp

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,988
Reaction score
1,437
Kuna mtu niko naye hapa ananizunguka anachat na whatssup kisha zile message ana delete. Nahitaji kujua namna ya kuspy message zake kupitia simu yangu.
 
Uspy wa nini!!? Ujue hupendwi, kuwa mvumilivu na mpole tu au temana naye
 
Habari wakuu,

Naombeni wataalamu wa kuifanya hii huduma wanisaidie nini cha kufanya.Nipo mkoa A nataka kumspy mpenzi wangu aliyemkoa B.

Nawakilisha
 
Mcheki kwenye status yake then endelea na uchunguzi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Achana na huo ujinga,utakufa kwa pressure kama una mashaka nae mwache aende zake
 
Utapata heart attack mkuu
Usijipe pressure sana mkuu
Kama unampenda mwamini tu basi vinginevyo utapanic mkuu


Alt b check her last seen if not hidden
 
Najua wote mmeelewa swali,mm nipo tayari kwa pressure na makila kitu juu ya uchunguzi huu ninaotaka kuufanya wanajamvi... !!alafu ukijua tatizo ni nusu ya kulitatua tatizo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom