[zipo nyingi tu,kama morogoro secondary ambayo ipo mjini kati,eneo la forest ambapo pia kuna makazi ya watu,kuna pia kigurunyembe secondary ambayo ipo mjini kati nayo ,kuna nyingine kama uluguru,kingo ,kayenzi,mji mpya secondaries zote hizi zipo kata ya kihonda,ambayo ni dakika 15 tu kutoka mjini kati kabis....,kwa kumalizia mkuu mbona haujasema ni shule za secondary au ni primary ambazo hunaitaji in formations zake.