Naomba msaada wa kuhusu unit za umeme ghetto kwangu

Immaculate Mary

New Member
Jul 3, 2021
4
45
Habari! Poleni kwa kazi

Naomba mnisaidie kuhusu unit za umeme.Je n hak kulipa 7000 kwa units 20? Nmetumia kwa muda wa mwez 1 na wiki kama 1.Mchana huwa cshind ghetto.

Natumia pas ya umeme kwa nadra,nna taa 3 "zitumiazo umeme kidogo"japo huwa czm 1 uck , LED TV na jag la kuchemshia maj maana naweza kuchemshia maj ×2 kwa cku.Je n haki kulipa 7000 kwa ma2miz haya?
 
Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,432
2,000
Habar !Poleni kwa kaz.Naomba mnisaidie kuhusu unit za umeme.Je n hak kulipa 7000 kwa units 20?Nmetumia kwa muda wa mwez 1 na wiki kama 1.Mchana huwa cshind ghetto.Na2mia pas ya umeme kwa nadra,nna taa 3 "zitumiazo umeme kidogo"japo huwa czm 1 uck , LED TV na jag la kuchemshia maj maana naweza kuchemshia maj ×2 kwa cku.Je n haki kulipa 7000 kwa ma2miz haya?
Duuh.. Mkuu, unit za umeme haziuzwi kulingana na vifaa ulivyo navyo, bali zinauzwa kulingana na bei ya unit moja!

Kwa tariff ya kawaida, nadhani unit 1 ni sawa ma Tshs 350, sasa piga hesabu kuanzia hapo!
 
Elly official

JF-Expert Member
Sep 16, 2018
540
1,000
Mimi nina fridge linawaka 24/7,nina jiko la umeme energsaver kila siku lazima lipike likisaidisna na gass mf kuchmsa maji ya kuoga, maharage nk, nina pasi ya umeme kila siku lazima itumike, nina security taa kama 8, nina tv, matumizi yangu ndo kati ya tsh. 7000 na 9000, maana nikinunua umm wa 9000 huwa natumia kati ya 30 -40 days dijaiba umeme na kila kitu kipo fresh. Nyumba ni yangu naishi mwrnyewe
 
TZ-1

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
909
1,000
Ni saw tuu kwa 20 unit kutumia kwa vtu vyako hvyoo na kumuda huo ila kwa umeme wa 7000 kwa unit hzo inawez kuw sio sawa.
 
MEING'ATI

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
1,211
2,000
Mimi nina fridge linawaka 24/7,nina jiko la umeme energsaver kila siku lazima lipike likisaidisna na gass mf kuchmsa maji ya kuoga, maharage nk, nina pasi ya umeme kila siku lazima itumike, nina security taa kama 8, nina tv, matumizi yangu ndo kati ya tsh. 7000 na 9000, maana nikinunua umm wa 9000 huwa natumia kati ya 30 -40 days dijaiba umeme na kila kitu kipo fresh. Nyumba ni yangu naishi mwrnyewe
Basi wapangaji tunapigwa sana na hawa wenye nyumba

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
 
Johnny Impact

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,884
2,000
Naandika kwa experience. Nina jagi la umeme. Jagi la umeme halili umeme kbsa. Ukichemsha hata unit 0.2 hazifiki.
Hapa wana matumizi makubwa sana ya umeme. Huwa sisishindi geto. Natoka saa 1 na nusu asubuhi na kurudi saa 1 au saa 2 usiku.
Kibembe kwa mwezi nilikua nalipa 20,000. Baada ya siku 7 au 8 wanaomba hela ya umeme.
Nikafunga submeter. Tangu tarehe 4 mwezi wa 10 leo nimelipa 5,000 na jagi kila siku nalitumia.
Kama halitumii umeme mwingo linatumia kiasi gani, kwa hayo matumizi uliyotaja kwa elfu 7 sio mbaya kabisa, labda kama unataka shari na baba mwenye nyumba
 
Johnny Impact

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,884
2,000
Funga sub meter tu ndiyo dawa. Tangu nimefunga hakuna usumbufu. Ukiniomba hela ya umeme, naangalia kwenye sub meter yangu. Nitakazozipata unit nazidisha mara 350 kisha naongeza unit 2 kwa taa za nje.
Sub meter ipo ya 35000 na 100,000
Ilikuwa baada ya siku 7 unatoa 5,000 ikopiga hesabu kwa mwezi mzima nimelipa 20,000 umeme tu
 
KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,415
2,000
Funga sub meter tu ndiyo dawa. Tangu nimefunga hakuna usumbufu. Ukiniomba hela ya umeme, naangalia kwenye sub meter yangu. Nitakazozipata unit nazidisha mara 350 kisha naongeza unit 2 kwa taa za nje.
Sub meter ipo ya 35000 na 100,000
Ilikuwa baada ya siku 7 unatoa 5,000 ikopiga hesabu kwa mwezi mzima nimelipa 20,000 umeme tu
Hiyo ya laki 1 ikoje?! Weka picha.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom