Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,055
- 10,337
Dah....enzi za Kikwete ndiyo mliitwa viwanda vya uongo 🤣🤣🤣🤭Mimi nina fridge linawaka 24/7,nina jiko la umeme energsaver kila siku lazima lipike likisaidisna na gass mf kuchmsa maji ya kuoga, maharage nk, nina pasi ya umeme kila siku lazima itumike, nina security taa kama 8, nina tv, matumizi yangu ndo kati ya tsh. 7000 na 9000, maana nikinunua umm wa 9000 huwa natumia kati ya 30 -40 days dijaiba umeme na kila kitu kipo fresh. Nyumba ni yangu naishi mwrnyewe