binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,253
- 41,239
Miss you pia babe girl 😍😍Sis miss you😍
Kwema?
Miss you pia babe girl 😍😍Sis miss you😍
Karibu.Sawa nashukuru sana mkuu.
Unataka kusema huyu ndie Lucas Mwashambwa au TlaatlaahBila shaka huyu ni chawa humu, kaja na id yake nyingine
Rahisi sana, chukua muongozo kwenye comment ya Karne hapo juu.Napatikana Tabora mkuu, sema jinsi ya kuonana na mbunge wa jimbo langu ndio ngumu.
Huyu ni LucasUnataka kusema huyu ndie Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah
Kwema njoo chit chat basi kuna uzi utie neno🫣Miss you pia babe girl 😍😍
Kwema?
OkayNashukuru mkuu.
Njoo mpaka hapa bungeni, kuna benki kadhaa nje ya mjengo. Hapa ndipo ninapofanyia kazi kwa sasa. Ukifika waulize askari "yule mlinzi mzee wa benki nitampata wapi?"Habari wana JamiiForums.
Nina ombi la dhati. Mimi ni kijana wa miaka 21 kutoka Tanzania, na moja ya ndoto zangu kubwa ni kupata nafasi ya kutembelea Bunge la Tanzania na kushuhudia kikao cha bunge nikiwa kwenye jukwaa la wageni.
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya bunge kwa muda mrefu, na nina hamu kubwa ya kujifunza namna shughuli za kutunga sheria na uwakilishi zinavyofanyika kwa karibu.
Kama kuna Mbunge, mtumishi wa Bunge, au mtu yeyote mwenye uwezo wa kunielekeza au kunisaidia kupata kibali cha kutembelea bunge, nitashukuru sana. Itakuwa hatua kubwa kwangu kutimiza ndoto ambayo nimekuwa nayo kwa muda mrefu.
Asanteni sana kwa muda wenu na kwa msaada wowote mtakaoweza kunipa.
Nakuja kuzogoa babes .Kwema njoo chit chat basi kuna uzi utie neno🫣
OkayNakuja kuzogoa babes .
Gombea tu ubunge, umri wako unakuruhusu. Waliomo humo hakuna wanachokuzidi—labda kiwango cha uhalifu!Habari wana JamiiForums.
Nina ombi la dhati. Mimi ni kijana wa miaka 21 kutoka Tanzania, na moja ya ndoto zangu kubwa ni kupata nafasi ya kutembelea Bunge la Tanzania na kushuhudia kikao cha bunge nikiwa kwenye jukwaa la wageni.
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya bunge kwa muda mrefu, na nina hamu kubwa ya kujifunza namna shughuli za kutunga sheria na uwakilishi zinavyofanyika kwa karibu.
Kama kuna Mbunge, mtumishi wa Bunge, au mtu yeyote mwenye uwezo wa kunielekeza au kunisaidia kupata kibali cha kutembelea bunge, nitashukuru sana. Itakuwa hatua kubwa kwangu kutimiza ndoto ambayo nimekuwa nayo kwa muda mrefu.
Asanteni sana kwa muda wenu na kwa msaada wowote mtakaoweza kunipa.
Naunga mkono hoja miaka 21, joined 2019 ina maana alijiunga JF akiwa na miaka 15?, alafu huu uziumepangiliwa vizuri hivi hamna (xaxa), nukta zimekaa mahala pake.Bila shaka huyu ni chawa humu, kaja na id yake nyingine
Nitakuwa kama tomaso kwenye kusadiki maneno yako. mpaka nipapaseAmna mkuu nimeanza kutumia JF nikiwa mdogo sana.
Wananchi wa kawaida wanaruhusiwa kutembelea Bungeni. Ingia kwenye tovuti Yao upate maelekezo.Habari wana JamiiForums.